Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,299
- 4,700
Mnajadili na kukubaliana na tetesi! Chadema mnachekesha sanaMaCCM yalivyo makatili yanaweza kumpoteza Kinana kabisa.
Mnajadili na kukubaliana na tetesi! Chadema mnachekesha sanaMaCCM yalivyo makatili yanaweza kumpoteza Kinana kabisa.
Post ya siku. Asante mkuuJumbe alikua rais na akaishia Kigamboni sembuse kanali?
Who is kanali watu wakiamua kukufanyia figisu?
Serikali kwa maneno simple ni Sirikali![]()
![]()
Aisee, Lumumba hawapendi kuona ukweli kama huuKosa kubwa alilofanya Kinana ni kuamua kumuunga mkono Nape na kumkandia bi mdogo oohh sorry bwana mdogo bashite..Kushugulikiwa kwa Kinana na dereva wa lori iwe ni funzo kwa wezi wote wanaosaidia wizi wa kura za ccm. Acha wafu wazikane
Mbona hucheki?Mnajadili na kukubaliana na tetesi! Chadema mnachekesha sana
Kama ulisikiliza vema DW,ilipofika wakati wa kuongelea suala la uminywaji wa habari ktk dw,matangazo yalipotea hewani na yaliporudi taarifa ile ilikuwa imeshapita,hivyo sehemu kubwa haikusikika,,,,DW tunaomba muirudie kwani na yenyewe imeminywa,DW leo wamesema serikali ya Tz haishauriki, Inakandamiza uhuru wa habari, kuna utekaji nyara, ufungiaji vyombo vya habari, kuminya demokrasia, uzuiaji wa shughuli za kisiasa, kufukuza wafanyakazi nk, viongozi kujiamulia mambo bila kufuata kanuni na taratibu zilizowekwa kwa mujibu wa sheria.
I think World is watching us to the same way like Venezuela under Nicholas Madulo.
NB:
Zamani wakati nafanya course flani hivi, kulikuwa na utaratibu wa kuwabakisha chuoni wale waliofeli (NANGA) ili waendelee kujifunza kipindi intake mpya inapoingia, sasa kutokana na hali hiyo ma failure hao kujazana chuoni hapo wakaanza kuambukiza mapuuza kwa kila intake mpya, matokeo kila intake kupoteza intellectuals.
Mungu Ibariki TZ, Mungu nibariki mimi.
Kwani alipingana na chama chake? Mbona hakuna mfanano?Kinachoendelea kuhusiana na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ambaye hajaonekana kwa muda mrefu ni kujirudia kwa mambo yaliyomkuta Sheikh Aboud Jumbe mwaka 1984?
Tetesi zilizopo ni kuwa Kinana hatakiwi kutoka nyumbani kwake wala kuzungumza na media, Je Kinana amewekwa kizuizini? Ni kosa gani Kinana amefanya mpaka kupewa zuio hilo?
Karibuni kwa mjadala
aahhaaa! kumbe !!Wacha wote tuzisome namba, huwezi kukosana na bashite halafu ubaki salama, kosa lake aliungana na nape kumpinga bashite
Sie watoto tunajuaje siri za wakubwa?Kumbuka Kolimba alipotezwa kwa kutamka kwamba "CCM imekosa mwelekeo"
wale wanaoapa kutunza siri ni kweli hutunza siri mpaka mwisho wa uhai wao? je wakitoa siri nini kitatokea?Jumbe alikua rais na akaishia Kigamboni sembuse kanali?
Who is kanali watu wakiamua kukufanyia figisu?
Serikali kwa maneno simple ni Sirikali![]()
![]()
Sie watoto tunajuaje siri za wakubwa?
Historia tunaijua kwa nje tu.Kwa ndani hatuijui.Yaani nyuma ya pazia.Soma historia ya Taifa lako. Kujua history ya Taifa lako hakuna mkubwa wala mtoto.
Historia tunaijua kwa nje tu.Kwa ndani hatuijui.Yaani nyuma ya pazia.Soma historia ya Taifa lako. Kujua history ya Taifa lako hakuna mkubwa wala mtoto.
..Na Naibu wa katibu (yaani Rodricki Mpogolo) yuko kimya sana! Anafanya kazi kimya kimya sana...saivi amebaki yule mbavuzambwa anazunguka kununua anaowaita 'wapinzani'
angesema lipi unalolijua..Na Naibu wa katibu (yaani Rodricki Mpogolo) yuko kimya sana! Anafanya kazi kimya kimya sana...
Rodrick Mpogolo:
1. Alifanya kazi CCM makao Makuu Dodoma (kitengo maalum),
2. Akawa DC wa Chato,
3. Akawa "WAKALA" wa Kura ya JP wakati wa ugombea wa Kiti cha Urahisi wakati wa Mkutano wa uchaguzi wa ccm,
Na sasa yuko KIMYA....