Umeonana sasaMkuu wangu, acha kulia. Tujuze Kinana yuko wapi? Mambo ya Lowassa na Sumaye yana nyuzi zake.
Inakuuma nini?,tutaanza kukuvisha wewe kwanza sketiACHA KUSAMBAZA UMBEA, UTAVISHWA SKETI KISHA USUTWE !!
Jumbe alikua rais na akaishia Kigamboni sembuse kanali?
Who is kanali watu wakiamua kukufanyia figisu?
Serikali kwa maneno simple ni Sirikali![]()
![]()
Dah.... Uzi Umekaa kikekike sana![]()
![]()
Kinana si ni muislam kama Aboud Jumbe?Kinachoendelea kuhusiana na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ambaye hajaonekana kwa muda mrefu ni kujirudia kwa mambo yaliyomkuta Sheikh Aboud Jumbe mwaka 1984?
Tetesi zilizopo ni kuwa Kinana hatakiwi kutoka nyumbani kwake wala kuzungumza na media, Je Kinana amewekwa kizuizini? Ni kosa gani Kinana amefanya mpaka kupewa zuio hilo?
Karibuni kwa mjadala
Una ushahidi jamhuri wakifungua kesi?Mkifungwa hamukawii kulalamika kuwa mumeonewa
We need our Kanali backJumbe alikua rais na akaishia Kigamboni sembuse kanali?
Who is kanali watu wakiamua kukufanyia figisu?
Serikali kwa maneno simple ni Sirikali![]()
![]()
Chadema ni wanafki sana kuna kipindi walikuwa wanamponda lowassa na sumaye wakiwatuhumu wezi tena mafisadi papa mungu kwa uwezo wake akawaumbuwa akawaperekea wote bila ya aibu wakawasafisha awakutosheka wakamzungumzia kinana fisadi wa pembe za ndovu leo hii kinana amekaa kimya wanatudanganya tena eti tetesi kinana amezuiwa CHDEMA acheni unafiki mungu anakuoneni .magaufur alishasema ataki siasa wanachama wake kwanza wafanye kazi .
Wachonga kinyago.sasa kinawatisha wenyewe
CCM wana laana.nikikumbuka kinana alivyokuwa anahaingaika vijijini kurudisha imani kwa wanachama.huwezi kuamini kuwa sasa anatendewa haya.
Wewe na nani?We need our Kanali back
Baadhi ya watanzania kwa kuzusha hawajambo!kilichowahi kuniacha hoi bin taaban ni ile ya Jenerali Mwamunyange.Kinachoendelea kuhusiana na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ambaye hajaonekana kwa muda mrefu ni kujirudia kwa mambo yaliyomkuta Sheikh Aboud Jumbe mwaka 1984?
Tetesi zilizopo ni kuwa Kinana hatakiwi kutoka nyumbani kwake wala kuzungumza na media, Je Kinana amewekwa kizuizini? Ni kosa gani Kinana amefanya mpaka kupewa zuio hilo?
Karibuni kwa mjadala