Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,820
- 4,573
Je wewe ni muhanga wa kufungiwa kutumia Whatsapp Kwenye simu yako na kila ukijiunga Whatsapp lazima upigwe ban ? Unafanyaje kujiondoa?
Wengi wanajiuliza inakuwaje imenitokea hii inakutokea kwa sababu umevunja sheria na taratibu za Whatsapp ndo maana umefungiwa namba yako kutumia Whatsapp.
Kuna aina mbili za kufungiwa kwenye Whatsapp
๐ญ. T๐ฒ๐บ๐ฝ๐ผ๐ฟ๐ฎ๐ฟ๐
๐ฎ. P๐ฒ๐ฟ๐บ๐ฎ๐ป๐ฒ๐ป๐
1๏ธโฃ ๐๐ฒ๐บ๐ฝ๐ผ๐ฟ๐ฎ๐ฟ๐
Kawaida unafungiwa kuanzia nusu saa , 1hr ,2hr, 8 mpaka 24hrs. Ila baada siku au masak kadhaa unarudishiwa akaunti yako na kuendelea kutumia kama kawaida.
2๏ธโฃ ๐ฝ๐ฒ๐ฟ๐บ๐ฎ๐ป๐ฒ๐ป๐
Hii ikikutokea bhana daah inabidi ufanye kazi kidogo maana huwa unafutiwa chati zako , alafu ukijiunga unakua kama unaanza upya vile maana unaondolewa kwenye ma groups yote uliyokuwepo kwenye Whatsapp.
๐ฆ๐ฎ๐ฏ๐ฎ๐ฏ๐ ๐๐ฎ๐ป๐ถ ๐๐ฎ๐ป๐ฎ๐ธ๐๐ณ๐๐ป๐ด๐ถ๐ฎ
โข Kutuma sms nyingi kwa watu kwa wkati mmoja
โข Kutuma sms inayojirudia rudia kila mara ndani ya kipind kifupi
โข Kutumia app zingine za Whatsapp gb , fm nk
โข Kutengeneza ma groups mengi ya Whatsapp ndani ya muda mfupi
โข Kutuma link zisizo salama kwa watu
โข Kupigwa block na watu wengi inaonekana sio mtu mzuri kwenye jamii.
Jinsi ya kunondokana Permanent Ban
Kwanza tumia ๐ช๐ต๐ฎ๐๐๐ฎ๐ฝ๐ฝ ๐ผ๐ณ๐ณ๐ถ๐ฐ๐ถ๐ฎ๐น toka soko la play store alafu ukimaliza Sasa inabidi ufanye mambo yafuatayo ili kuwa salama ๐
Kama umepigwa Whatsapp Permanent Ban fanya hivi chukua hii email ya ๐๐๐ฝ๐ฝ๐ผ๐ฟ๐@๐๐ต๐ฎ๐๐๐ฎ๐ฝ๐ฝ.๐ฐ๐ผ๐บ
Kisha fungua email yako usitumie email hii ๐
๐๐๐ฝ๐ฝ๐ผ๐ฟ๐@๐๐บ๐ฏ.๐๐ต๐ฎ๐๐๐ฎ๐ฝ๐ฝ.๐ฐ๐ผ๐บ haifanyi kazi utakesha.
Fungua email yako kisha andika kuwa unajua umekosa kuwa uliweza kufanya jambo ambalo ukutegemea kama utafungiwa akaunti yako kisha tumia hii email kuwatumia changamoto yako
๐๐๐ฝ๐ฝ๐ผ๐ฟ๐@๐๐ต๐ฎ๐๐๐ฎ๐ฝ๐ฝ.๐ฐ๐ผ๐บ
Baada ya saa 4 mpaka 24hrs pia unaweza kupelekwa ata siku mbili tatu kuweza kufunguliwa akaunti yako hakikisha unaweka na namba ya simu ambayo imefungiwa kutumia Whatsapp.
Jitahidi kutumia official Whatsapp ni salama kwako kuliko Gb Whatsapp?? Vipi wewe ukipigwa banned unafanya kitu Gani tuachie maoni yako?
Credit: Bongo Tech