Je wewe una akili nyingi?

Kwa asilimia fulani nakubaliana na hoja yako, ila cha muhimu, bahati haiwezi kuja kwa mtu asiyejishughulisha au kwa yule ambaye hakuweka mazingira ya kupokea bahati kama itakuwepo. Ule uwezo wa kutengeneza mazingira, ambao wengine hawana huo uwezo, ile ni akili.​
 
Mkuu ebu endelea mbona kama una madini ya kutosha..?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…