Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,123
- 62,114
ee nina akili nyingiAkili nyingi ni kufanya kitu amabacho wengine wote wameshindwa kufanya, ila wewe ukaweza kufanya na kikaonekana. Iwe ni kwenye teknolojia, biashara, maamuzi magumu n.k Je, wewe una akili nyingi?
Umefanya nini cha ajabu katika hii dunia?ee nina akili nyingi
Alichukua maamuzi magumuNikajua ulituma dollar kumbe kutongozaπ
Nakubaliana na wewe kwa 30% ila bado kuna mwanya wa kufanya kitu cha tofuti kwa kutumia hiyo akili yako.Kwa vigezo vyako wenye akili nyingi wote washakufa maana hakuna jipya kwa Sasa hapa duniani zaidi ya kaboresho. Waliobaki hai ni Elon musk na mark Zuckerberg tuu.
Hapa ndiyo nimeamini kumbe huyu@Seran ni demu na mshangazi?Ndio mkuu mimi ninazo akili nyingi nilifanya maamuzi magumu kumtongoza Seran Hadi akakubali sio mchezo kabisa.
Wazo lako umeshashirikisha wadau wangapi?Nina id ya vitu ving vya kubuni na wala dunian bado havipo ila umaskn ndio umenifanya nisionekane nb binifu zozote hazitoki mbingun ni kitendo cha kuangalia changamoto na kuumiza kichwa upate nyezo ya kutatua tatizo kwa kuiangalia hy hy changamoto
SP ndio nini?Mkuu nikisema Niifukuzie bil ya SP na nikaipata ntakuwa Sina akili π€
Unafaa kabisa upelekwe Urusi ukasaidie kupambana na UkraineHapa mtaani huwa natoka na wamama ambao hakuna kijana kashawahi kufanya hiko kitendo..
Kuna mda niliwahi toka na maza mmoja alikua ni mwanasheria ila ni single mom ambaye mtaani wanamuogopa sana maana ana mtoto trafik ambaye mtata sana ila nilifanya hvo ...
Why still call me poor brain πππππππ
Mkuu, it is not necessarily iwe akili hasa kwenye biashara. Wakati mwingine ni eg ujasiri tu. Na ujasiri siyo akili. Au ......hata bahati.Akili nyingi ni kufanya kitu amabacho wengine wote wameshindwa kufanya, ila wewe ukaweza kufanya na kikaonekana. Iwe ni kwenye teknolojia, biashara, maamuzi magumu n.k Je, wewe una akili nyingi?
Mkuu, it is not necessarily iwe akili hasa kwenye biashara. Wakati mwingine ni eg ujasiri tu. Na ujasiri siyo akili. Au ......hata bahati.
1. Nikupe mfano. Kuna watu wengi tu wali-mine bitcoin siku za mwanzoni mwanzoni bila kujua kitakachotokea na baadae wakatajirika.Mkuu, bahati inawezekanaje kwenye kufanya kitu ambacho wengine wote wameshindwa kufanya?