Je wewe ni mwana hiphop wa bongo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je wewe ni mwana hiphop wa bongo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mnyikungu, Sep 12, 2009.

 1. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2009
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 581
  Trophy Points: 280
  Kama wewe ni mwana hiphop wa bongo basi unaobwa kutoa/kuchangia maoni yako katika mradi mpya wa kuandika waraka wa wana hiphop kwa wapiga kura wa TANZANIA.mradi huu mpya unalenga kutoa elimu ya uraia na jinsi ya kuchagua viongozi Tanzania, Uamuzi huu umekuja baada ya kuona jinsi viongozi wetu wasivyowaadilifu,ni watumiaji wabaya wa madaraka na wasiopenda kuwajibika. Hivyo basi sisi kama wanahiphop hatuwezi kukaa kimya na kuacha mambo haya yakiendelea,sisi kama wapiganaji wa kweli ni mwiko kukaa kimya.Tanzania bila mafisadi inawezekana kama sote tukiungana na kuwaambia kuwa hatuwataki basi tutafanikiwa.Wote mnaona jinsi lasilimali zetu zinavyopotea na kuisha huku wajanja wachache wakinufaika,basi ni jukumu letu wanahiphop kukaa mstari wa mbele kupinga mambo haya.kama uko tayari kwa mradi huu basi toa maoni yako namna unavyotaka huu waraka uwe kupitia barua pepe ya mnyikungu@gmail.com na sisi tutaufanyia kazi ushauri wako.
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kazi ipo mwaka 2009 -2010..Ngoja nijipage....
   
 3. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Duuh, Kingunge atakemea nyaraka nyingi sana mwaka huu !!
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  sasa hivi hawezi kutoa tamko tena si amekatazwa na mkuu...
   
 5. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2009
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 581
  Trophy Points: 280
  mbaka akome
   
Loading...