Kuna Akili Yako Hapa,,
Juma Hufanya Kazi Nyumbani Kila Siku Kwa Muda Wa Saa 9.Iwapo Atafanya Kazi Kwa Muda Wa Siku 30 ,atakuwa Amefanya Kazi Kwa Muda Wa Majuma,siku Na Saa Ngapi?
juma moja Siku nne na masaa sita
saa 270, siku 11.25, majuma 1.6.., una lingine labda.,