Radio waves za mitandao zote zina madhara kiuchumi na kiafya
Nikianza na kiuchumi.
Kwa jinsi unavyohamisha mtandao kutoka 3g/4g/5g ndipo kasi ya mtandao inazid kwenye ku download (kupakua), ku upload(kupakia) na kuload (kusoma) data mbalimbali mitandaoni, sasa kasi inapozidi hata matumiz ya data(bando lako) yatakuwa makubwa, hivyo tegemea vilio zaid vya watumiaj wa mitandao na simujanja kuhusu kuwai kuisha kwa mabando ya intaneti,
Kiuchumi watu wanaumia maana hii hali ya kuunga mabando ya week yanayoisha ndani ya masaa hii hali sio kabisa, inafikia hatua bando la mwez unalitumia kwa week na la week kwa siku, je la siku unadhani litatumika kwa muda gan kama sio sekunde?,
Hivyo basi kiuchumi hii hali ya mitandao inafilisi sana na kuaffect maisha ya watu.
2)kiafya
Kama nilivyosema ili kuwepo kwa intanet ,ni lazima uwepo wa network/mitandao iwe imara, kama ujuavyo intaneti ni aina ya mtandao ambao unahusisha mjumuisho wa vifaa vya kielectronic vingi(computers & mobile phones) kushare information mbalimbali kwa wakat mmoja, bila ya uwepo wa watumiaji ktk eneo moja.
Sas kama ujuavyo ili mtandao ukamate inabidi uwepo wa waya za kuunganisha hivyo vifaa uwepo ili kuruhusu matumiz ya hizo information,
sas ugumu unakuja vip kama watu wako maeneo tofaut tofaut na umbal tofaut? Hapo ndipo linakuja suala la wireless network ambayo ndiyo hiyo inaitwa intaneti ya kuunganisha device nying kwa wakat mmoja kwa njia ya wireless ama radio waves(electromagnetic energy).
Radio waves ni mawimbi ya sumaku umeme ambayo ndio hubeba taharifa mbalimbali(voice&video&data) na kusafirisha kwenda kwa mtu mwngine.
Na mawimbi haya huwa na kasi na nguvu kutokana na matumizi ya device, mfano unapowasha data ktk 3g matumiz ni tofaut na unapowasha 4g vile vile ni tofaut na unapowasha 5g, na hapa ndpo ilipo hatar, maana hata device hii inahitaji strong hardware ya kinasa mawimbi cha 5g, na mawimbi ya 5g yanasifa ya nguvu ya kusafiri haraka, pia ni shortest wave length compared na hizo zingine kwahiyo kifaa chako kinapokamata mawimbi kwa nguvu, ujuwe kuwa mawimbi hayo yatakuathiri mtumiaji.
Effect zake ni kama hizi, kuumwa kichwa mara kwa mara kwa mtumiaji wa simu, upungufu wa nguvu za kiume na uzazi kwa mtumiaji wa muda mrefu anayetumia kifaa kikiwa karibu na nyeti zake, pia kansa ni aina nyingine ya athari za hizi radio waves.
Mujuwe kuwa hii mitandao ya simu inaprovide mawimbi yenye athari sawa na yale mawimbi yanayozalishwa na nuclear bombs linapolipuka, ni vile tu, mawimbi haya ya simu hayana nguvu kubwa, or otherwise madhara yangekuwa yanaonekana mapema.
Ni jukumu la serikali kuweka wazi side effects za hizi technolojia badala ya kuegemea kwenye faida tu, na hasara wawaeleze wananchi ilo waweze kujilinda.