Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 18,958
- 55,051
Wakuu kwa awamu hii ya mama na jinsi alivyoanza je kuna dalili yoyote ya lile genge la wale wahuni maarufu "wasiojulikana" kutokomea kusikojulikana awamu hii ya sita?
Au mambo yataendelea vilevile kama yalivyokuwa awamu ya Tano,ama hali ndio itakuwa mbaya zaidi?
Nini mtazamo wako?
Mungu mbariki Mama,Mungu ibariki Tanzania.
Moderator tabaia ya kuunganisha nyuzi acheni bana mnaboa.
YOUNGBLOOD