Je, Wasiojulikana kuendelea kuwepo au tusahau?

Wakuu kwa awamu hii ya mama na jinsi alivyoanza je kuna dalili yoyote ya lile genge la wale wahuni maarufu "wasiojulikana" kutokomea kusikojulikana awamu hii ya sita?

Au mambo yataendelea vilevile kama yalivyokuwa awamu ya Tano,ama hali ndio itakuwa mbaya zaidi?

Nini mtazamo wako?

Mungu mbariki Mama,Mungu ibariki Tanzania.

Moderator tabaia ya kuunganisha nyuzi acheni bana mnaboa.
YOUNGBLOOD

Hap watu lazima waendelee kuwepo kwa manufaa mapana ya Taifa mama Tanzania

CCM mbele kwa mbele
 
Hawo wanaodaiwa hawajulikani actually wanajulikana. Dereva wake Mhe tundulissu aliwaona mchakweupe wakati wakimkosakosa tundulissu akaumia mguu wa kulia ingawa risasi zilitokea kushoto. Hata tundulissu mwenyewe atakuwa aliwaona, indeed anawafahamu hadi rangi na namba za gari lao tundulissu alisema hazarani kwa IGP awazuie "kumfuatafuata"
Hugo dereva aliishawahi kumtaja Hata mmoja?
 
Wanaweza kuendelea kuwepo iwapo wasiojulikana wengine wataendelea na harakati zao zitakazosababisha wasiojulikana wengine kuendelea na wao na harakati zao.
 
Wakuu kwa awamu hii ya mama na jinsi alivyoanza je kuna dalili yoyote ya lile genge la wale wahuni maarufu "wasiojulikana" kutokomea kusikojulikana awamu hii ya sita?

Au mambo yataendelea vilevile kama yalivyokuwa awamu ya Tano,ama hali ndio itakuwa mbaya zaidi?

Nini mtazamo wako?

Mungu mbariki Mama,Mungu ibariki Tanzania.

Moderator tabaia ya kuunganisha nyuzi acheni bana mnaboa.
YOUNGBLOOD
Itaishaje ilihali mfadhili na mpanga mipango kakabidhiwa kulisimamia fuko la manoti! Jiandaeni kupiga selfie beach mkiwa ndani ya viroba!
 
Wakuu kwa awamu hii ya mama na jinsi alivyoanza je kuna dalili yoyote ya lile genge la wale wahuni maarufu "wasiojulikana" kutokomea kusikojulikana awamu hii ya sita?

Au mambo yataendelea vilevile kama yalivyokuwa awamu ya Tano,ama hali ndio itakuwa mbaya zaidi?

Nini mtazamo wako?

Mungu mbariki Mama,Mungu ibariki Tanzania.

Moderator tabaia ya kuunganisha nyuzi acheni bana mnaboa.
YOUNGBLOOD

Hakuna Rais asiyekuwa na Kikosi kama hiki ( hasa katika hizi nchi zenu Changa huku Kwetu Afrika ) isipokuwa tu Utekelezaji wake ndiyo unapishana ambapo Wengine hupenda Kuua, Wengine Kujeruhiwa tu, Wengine Kutishia tu ile Wengine hutekeleza vyote hivi kwa pamoja.
 
Wakuu kwa awamu hii ya mama na jinsi alivyoanza je kuna dalili yoyote ya lile genge la wale wahuni maarufu "wasiojulikana" kutokomea kusikojulikana awamu hii ya sita?

Au mambo yataendelea vilevile kama yalivyokuwa awamu ya Tano,ama hali ndio itakuwa mbaya zaidi?

Nini mtazamo wako?

Mungu mbariki Mama,Mungu ibariki Tanzania.

Moderator tabaia ya kuunganisha nyuzi acheni bana mnaboa.
YOUNGBLOOD
Mama kawakataa, kawatupilia mbali wote, wamekuwa wadogo kama piriton
 
Pamoja na maelezo mazuri ila bado hujajibu swali mkuu,je hali itakuwaje?
Kama umeshakubali kumbe wanajulikana, walionwa mchana kweupe na walau watu wawili dereva na tundulissu, na wote wako hai. Lililobaki ni waende kituo cha polisi kilicho karibu wawataje majina yao. Kama hawana hakika, Kuna kitengo cha sanaa CID kitatoa michoro ya hao majambazi: wanene, wafupi, ndevu, sharubu, ke au me, kibiongo, makengeza, mweusi, mweupe, nk kadiri ya kumbukumhuku ya witness wetu watakavyoeleza, halafu picha 1 itarushwa magazetini ikisema "wanted, dead or alive, zawadi nono kutolewa". Raia wema watachangamkia tenda watawakamata dead or alive.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom