Je Wasichana wa kiarabu wapo hivi?

Je Wasichana wa kiarabu wapo hivi?

Habarini wakuu..
Mimi naombeni ushauri na msaada. Katika historia yangu ya mapenzi nimeisha wahi kuwa na mahusiano na wasichana wengi sana lakini kati yao sikuwahi kumfikiria hata mmoja kuwa nitamuoa. Nilikuwa na watumia tu kwa starehe. Hivi karibuni nilimpata mtoto wa kiarabu katika mahusiano ya ndani ya wiki moja tu nikajikuta nampenda kweli na nikawa nipo tiari kabisa kumuoa. Tulikubaliana wote kuwa tutaishi pamoja. Yeye alikuwa anaish kwa shangazi yake basi nikafanya mpango nikamuamisha akaja kuish kwangu kwenye chumba kimoja.

kiukweli nilimfurahia sana huyu mtoto wa kiarabu, kwanza alikuwa msafi sana pili swala la msosi huyu mtoto ni hatari nilipikiwa pilau mpaka nikakoma

MIKASA KATIKA MAHUSIANO..

kabla sijakutana na huyu mwarabu nilikuwa nina mahusiano na wasichana kama 6 hivi.
Alafu sasa cha ajaabu kati ya hao sita mmoja alikuwa ni rafiki na huyu mwarabu walisoma shule ya msingi pamoja lakin hawakumbukani vizuri.

Kuna siku tukiwa sehemu flani ya starehe tunaogelea kweny swimming pool huyu rafik ake alikuepo. Haikuwa shida sababu alikuwa anajua saivi nimeoa na yey ni mchepuko. Hivo hakuonesha kunizoea sana japo tulikuwa tunakonyezana kiwizi wizi. Kwa kuwa yeye alikuwa mpweke nilimwacha mwarabu wangu wazoeane na kufahamiana. Niliwapa muda wakawa wanaongea na hatimae wakafahamiana kuwa walisoma shule moja. Niliitwa nikatambulishwa na huyu mwarabu kuwa huyo msichana wanafahamiana na walisoma shule moja, ikawa ni furaha na wote tukarud majini kuogelea.
Nikiwa naogelea kwny kina kirefu huyu mchepuko wangu alizama chini na kunifuata kisha akanibusu mdomoni.
Kama mjuavo wapendwa maji ya swimming pool ni masafi sio kama ya mtoni mtu ukizama huonekani. Kitendo cha huyu mchepuko kunibusu yule mwarabu alikiona vizuri sana lakin akajifanya hajaona kabisa na hata tulivo ondoka hakuniambia chochote alikuw tu katika hali ya kawaida.

Maisha yaliendelea tu kama kawaida, Huku mim nikijiona mshindi. Kumbe huyu mwarabu anafany uchunguz wake kisirisiri, akawa anashik simu yangu na kusoma meseji hapa hakupata kitu. Ila mwisho wa siku nikiwa nimetoka kwenda bafuni huyu mwarabu alichukua simu na kumwandikia mchepuko message akisema mambo, baada ya muda message ikajibiwa poa honey, huyo ng'ombe yupo. Message ikajibiwa yupo anapika.
Walichat uzi mrefu natok zangu bafuni namkuta mtu kanuna haongei kisha akanipa simu. Mungu wangu sikuamin nilicho kiona, japo huyo mchepuko sikuwa tena nina haja nae lakin sikuwa na namna ya kuongea nikaaminika. Bas yule mwarabu aliondk akanitumia text kuwa anaenda arusha, hakwenda arusha kuna mtu aliniambia yupo kwa rafik angu. Ilikuwa ni usiku nikaenda kwa rafk angu usiku huo.. Nikakuta mlango umefungwa na kufuli. Nikampgia simu akapokea kisha nikamuuliza kama yupo na dem wangu akasema hayupo nae yupo arusha. Sikuamin nikamuomba nionane nae, tulivo onana alikuwa ananisih sana niend tu nyumban kesho tutaongea. Nilizid patwa na wasiwas coz huyu jamaa hajawah niambia maneno hayo nikiwa kwake ni kama kwangu naweza hata kulala lakin safar hii alinikatalia hata kulala. Nilimbana sana mwishoe alikubali kuw yupo na demu wangu eti alikuw na hasira na hatak kuniona ndo akaja kwake kwa kuwa ni rafik angu. Basi niliumia kisha tukarud home. Kuanzia hapo aman yangu na huyu mtoto haipo, dharau zikawa nying, ananijbu anavotaka anaondka na kurud muda anaotaka. Unyumba nikawa sipati kabisa, Siku nyingne analala nje hata siku mbili Nilimuomb sana msamaha lakin haikuwezakana, vituko vilikuwa n too much mpaka akafikia hatua ya kuniambia mim najifurahsha tu wala hatakaa anisamehe nimuache afany mambo yake na mim nifany yangu, yan tuachane. Nilivumilia maneno yake sababu chanzo cha haya yote nilikuw ni mm. Niliamin ipo siku atabadilika. Kiukwel nilimpend sana sikutak kumuacha lakin kuna siku aliniambia eti mim namtesa namshindisha njaa wakat kila kitu kipo ndan mchele mafuta nyama yan kila kitu kipo, nilijikuta napatwa na hasira nikampa vitasa na mangumi mpaka akavimba. Haikuishia hapo nilimfukuza.. Niliona ni kweli huyu dada hanipend kweli upendo haupo tena.

Aliondk japo niliumia sana, katk watu nilio kuwa nao katk mahusiano sijawah pata mtu kama huyu, yan kila sekta alikuw fit, mpak ile papuchi haina harufu yan hamu ya mapenz ilikuw haiishi.

Ndgu zangu mweny experience na hawa watu ebu anijuze ndivo walivo na maamuz magumu?? Yan ukikosea huwez samehewa??? Au ni huyu mtoto ndo anatabia hyo??

Kutokana na hili nimeamua tena kutafuta mtoto wa kiarabu, maake huko ndo naona moyo wangu ulipoangukia.. Nainjoy sana kuwa nao tofaut na race zngne .

Kama kuna anae weza nisaidia kuniunganisha na mtoto wa kiarabu pls aniambie ingependza sana atokee tabora japo hata mikoa mingne ni sawa. Natafta mtoto wa kiarabu nioe sio girlfrnd.
Unatafuta mtoto wakiarabu!!!!?je wewe mtoto wa nini?!!tuanzie hapa
 
Hivi Nani atakayekubali kuvumilia ujinga kama huo, mwingine mngefika nyumbani akaaga siku hiyo hiyo bila kusema lolote, pili huyu atakuwa mwarabu pori maana mwarabu hasa aje aishi na wewe ati avumilie ujinga huo [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] halafu anatoka kwako anakwenda kwa rafiki yako, huyu atakuwa hana makazi maalum nahisi hata huyo aliyedai Shangazi yake si kweli, atoke kwao kwenda ishi kwa bwana! Atakuwa mwarabu.com niishie hapo
 
Siyo watoto tu wa Kiarabu...ni watoto wote wenye malezi ama maadili ya Kiislamu...hao hawawezi kukudissapoint Mkuu....mimi ni Mkristo lakini kona zangu zote ni kwa mabinti wa Kiislam, kuna vitu vitamu kwenye zile khijabu na shungi...pia ni wasafi mno unaweza kupiga deki tani yako kama unapenda!
 
Umestahili ulichokipata..kosa ni kuruhusu huyo x wako akukiss na kujiona bingwa ilihali ulikua wajua manzi wako ameona kila kitu..mimi nahisi ungesema ukweli siku ile sidhani kama hyo dada angeenda mbali kiasi cha kuanza chat na huyo x wako...pole..endelea kutafuta utapata mwarabu mwingine ila rekebisha tabia yako
 
Hakuwa riziki angu kaka
Binadamu huwa ana misemo mingi sana ya kujifariji akiwa kwenye magumu hata km kayasababisha mwenyewe.
Kwa mfano.
Umechukua gari la mzee nyumbani umeenda nalo misele. Baba yako alishakuonya usije chukua gari lake kwasbb ametumia pesa nyingi sana na pia ana matumizi mengi na hilo gari. Baada ya kulichukua ukaingia nalo misele. Umeingia dukani kununua kitu unatoka unakuta gari limeibiwa na wezi.
Swali.
Je, unafikiri hapo nani wa kulaumiwa ww au mwizi?
*Ukiwa na mtu ambaye humuhitaji ww chepuka kadri uwezavyo, ikibidi ajue km unachepuka. Panga foleni hata km 10 lkn ukiwa una mhitaji usije jaribu kumsaliti na ikigundulika utakuwa umempoteza.
USALITI HAUJAWAI KUMUACHA MTU SALAMA
 
Mkuu ulipagawishwa na mlango wa uani nini maana nasikia hao watoto wa kiarabu wamebarikiwa sana kwenye hiyo sekta
 
Hivi Nani atakayekubali kuvumilia ujinga kama huo, mwingine mngefika nyumbani akaaga siku hiyo hiyo bila kusema lolote, pili huyu atakuwa mwarabu pori maana mwarabu hasa aje aishi na wewe ati avumilie ujinga huo [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] halafu anatoka kwako anakwenda kwa rafiki yako, huyu atakuwa hana makazi maalum nahisi hata huyo aliyedai Shangazi yake si kweli, atoke kwao kwenda ishi kwa bwana! Atakuwa mwarabu.com niishie hapo
Nukta umekumbuka kuweka?maana nahisi km umemaliza kila kitu.
Bachelor mwenzangu umechezea pulizo la condom kwenye majani ss limegusa majani lazima lipasuke,you are not serious bachelormate wangu you deserve what you have got just RESTORE YOURSELF first then uanze uuuupyaa.
 
Pole sana...

Zunguka yote hiyo, shida yako ni kupata mwanamke wa kiarabu...

Cc: mahondaw

Mtu ametoa tu mkasa uliomkuta na kuomba ushauri,,,
POVU LA NINI SASA,,!!!HAYA BASI TUFANYE ANAKUTAKA WEWE[emoji3]
Pale alivosema unga,sukari,mchele na nyama kila kitu kipo ndani,naona hapo palikuvutia mno,hadi povu likakutoka kumsikia mwenzio bado anatamani kupata dem wa kiarabu mwingine[emoji1321]
 
Mkuu nakushauri tu ni bora ukatafute mwingine ili akuliwaze kuliko kuendelea kujiumiza,
Watoto wa kiarabu huwa wanamapenzi ya Dhati saana wewe kuna kitu umemtenda hadi kukinai
Na AKIKUKINAI utatamani uzaliwe upya
Na akikupenda utajiona hamna kama wewe duniani
Na chanzo chao hasa cha kukinai vile akikumbuka mlivokuwa,alivokuwa akikupenda kwa dhati,mambo na maneno mliokuwa mkiongea yaani anayajumlisha yooote hayo ndio kinyaa chao cha mapenzi kinaanzia hapo
Yupo tayari hata akangegedwe na mchizi ili tu akutoe moyoni[emoji1321]
 
Hahahaha wew jamaa umenivunja mbavu hahaha
 
Hawa viumbe roho zao za ajabu sana
 
Mbona sioni mwendelezo hapa nataka nione mpaka ukipata Mwarabu
 
Unalialia nini wewe mzembe tu umebaki kuwa mpenzi mtazamaji..Ameisha goma na amekipeleka kwa mchiz wako amewekwa barabara.. Demu hakutaki bado unakaza vipi kwani unataka kurithi nini kutoka uarabuni Dingii?
 
Back
Top Bottom