Je Wasichana wa kiarabu wapo hivi?

Je Wasichana wa kiarabu wapo hivi?

Nipo Arusha, nitumie number yake na me nimchapie rafiki yko, nae amuie coz yeye ndio anaringa nae now..
Tuma namber pm.. Nimkule mpaka akimbie na ch# ,tatizo sip kumpiga,kinachomuma mwanamke maisha yase yote ni hali Ya kumcheat.. Kumpiga anaweza kukusamehe hata siku hyo akupa pupuchi lakini sio kumsaliti
 
Habarini wakuu..
Mimi naombeni ushauri na msaada. Katika historia yangu ya mapenzi nimeisha wahi kuwa na mahusiano na wasichana wengi sana lakini kati yao sikuwahi kumfikiria hata mmoja kuwa nitamuoa. Nilikuwa na watumia tu kwa starehe. Hivi karibuni nilimpata mtoto wa kiarabu katika mahusiano ya ndani ya wiki moja tu nikajikuta nampenda kweli na nikawa nipo tiari kabisa kumuoa. Tulikubaliana wote kuwa tutaishi pamoja. Yeye alikuwa anaish kwa shangazi yake basi nikafanya mpango nikamuamisha akaja kuish kwangu kwenye chumba kimoja.

kiukweli nilimfurahia sana huyu mtoto wa kiarabu, kwanza alikuwa msafi sana pili swala la msosi huyu mtoto ni hatari nilipikiwa pilau mpaka nikakoma

MIKASA KATIKA MAHUSIANO..

kabla sijakutana na huyu mwarabu nilikuwa nina mahusiano na wasichana kama 6 hivi.
Alafu sasa cha ajaabu kati ya hao sita mmoja alikuwa ni rafiki na huyu mwarabu walisoma shule ya msingi pamoja lakin hawakumbukani vizuri.

Kuna siku tukiwa sehemu flani ya starehe tunaogelea kweny swimming pool huyu rafik ake alikuepo. Haikuwa shida sababu alikuwa anajua saivi nimeoa na yey ni mchepuko. Hivo hakuonesha kunizoea sana japo tulikuwa tunakonyezana kiwizi wizi. Kwa kuwa yeye alikuwa mpweke nilimwacha mwarabu wangu wazoeane na kufahamiana. Niliwapa muda wakawa wanaongea na hatimae wakafahamiana kuwa walisoma shule moja. Niliitwa nikatambulishwa na huyu mwarabu kuwa huyo msichana wanafahamiana na walisoma shule moja, ikawa ni furaha na wote tukarud majini kuogelea.
Nikiwa naogelea kwny kina kirefu huyu mchepuko wangu alizama chini na kunifuata kisha akanibusu mdomoni.
Kama mjuavo wapendwa maji ya swimming pool ni masafi sio kama ya mtoni mtu ukizama huonekani. Kitendo cha huyu mchepuko kunibusu yule mwarabu alikiona vizuri sana lakin akajifanya hajaona kabisa na hata tulivo ondoka hakuniambia chochote alikuw tu katika hali ya kawaida.

Maisha yaliendelea tu kama kawaida, Huku mim nikijiona mshindi. Kumbe huyu mwarabu anafany uchunguz wake kisirisiri, akawa anashik simu yangu na kusoma meseji hapa hakupata kitu. Ila mwisho wa siku nikiwa nimetoka kwenda bafuni huyu mwarabu alichukua simu na kumwandikia mchepuko message akisema mambo, baada ya muda message ikajibiwa poa honey, huyo ng'ombe yupo. Message ikajibiwa yupo anapika.
Walichat uzi mrefu natok zangu bafuni namkuta mtu kanuna haongei kisha akanipa simu. Mungu wangu sikuamin nilicho kiona, japo huyo mchepuko sikuwa tena nina haja nae lakin sikuwa na namna ya kuongea nikaaminika. Bas yule mwarabu aliondk akanitumia text kuwa anaenda arusha, hakwenda arusha kuna mtu aliniambia yupo kwa rafik angu. Ilikuwa ni usiku nikaenda kwa rafk angu usiku huo.. Nikakuta mlango umefungwa na kufuli. Nikampgia simu akapokea kisha nikamuuliza kama yupo na dem wangu akasema hayupo nae yupo arusha. Sikuamin nikamuomba nionane nae, tulivo onana alikuwa ananisih sana niend tu nyumban kesho tutaongea. Nilizid patwa na wasiwas coz huyu jamaa hajawah niambia maneno hayo nikiwa kwake ni kama kwangu naweza hata kulala lakin safar hii alinikatalia hata kulala. Nilimbana sana mwishoe alikubali kuw yupo na demu wangu eti alikuw na hasira na hatak kuniona ndo akaja kwake kwa kuwa ni rafik angu. Basi niliumia kisha tukarud home. Kuanzia hapo aman yangu na huyu mtoto haipo, dharau zikawa nying, ananijbu anavotaka anaondka na kurud muda anaotaka. Unyumba nikawa sipati kabisa, Siku nyingne analala nje hata siku mbili Nilimuomb sana msamaha lakin haikuwezakana, vituko vilikuwa n too much mpaka akafikia hatua ya kuniambia mim najifurahsha tu wala hatakaa anisamehe nimuache afany mambo yake na mim nifany yangu, yan tuachane. Nilivumilia maneno yake sababu chanzo cha haya yote nilikuw ni mm. Niliamin ipo siku atabadilika. Kiukwel nilimpend sana sikutak kumuacha lakin kuna siku aliniambia eti mim namtesa namshindisha njaa wakat kila kitu kipo ndan mchele mafuta nyama yan kila kitu kipo, nilijikuta napatwa na hasira nikampa vitasa na mangumi mpaka akavimba. Haikuishia hapo nilimfukuza.. Niliona ni kweli huyu dada hanipend kweli upendo haupo tena.

Aliondk japo niliumia sana, katk watu nilio kuwa nao katk mahusiano sijawah pata mtu kama huyu, yan kila sekta alikuw fit, mpak ile papuchi haina harufu yan hamu ya mapenz ilikuw haiishi.

Ndgu zangu mweny experience na hawa watu ebu anijuze ndivo walivo na maamuz magumu?? Yan ukikosea huwez samehewa??? Au ni huyu mtoto ndo anatabia hyo??

Kutokana na hili nimeamua tena kutafuta mtoto wa kiarabu, maake huko ndo naona moyo wangu ulipoangukia.. Nainjoy sana kuwa nao tofaut na race zngne .

Kama kuna anae weza nisaidia kuniunganisha na mtoto wa kiarabu pls aniambie ingependza sana atokee tabora japo hata mikoa mingne ni sawa. Natafta mtoto wa kiarabu nioe sio girlfrnd.
Kaka umekanyaga landmine mwenyewe. Ungetulia na huyo manz wa kiarabu. Aisee next time ukipata mwanamke akakupenda kiasi hiko man dont cheat on her, ni wachache sana wenye mioyo kama hiyo.
 
Hao hawanaga mahusiano ya kutangatanga,
Akipenda anakupenda mazima,lakini ukimtenda vibaya huwezi kumrudisha hata ufanye vipi.lakini tofauti na jamii zetu ukiwa nao hao huwezi juta wala kujilaumu kwa lolote,wapo vizuri kila idara wanajipenda,wanajua kupenda,jikoni Ndo kila kitu...
Ukiwafuatisha hao hutokaa uoe mwingine.
Ni kama kutumia apple kisha upewe tecno.
Lakini kuwapata kwake inabidi ujipange hasaa kwa sababu wengi wana asili ya ubaguzi fulani linapokuja swala la kuolewa na watu wa jamii nyingine labda iwe umebeba.
 
tofautisha waarabu .kuna wapemba watu hujua ni waarabu sio kweli. kuna waarabu aina mbili hapa tz wenye asili ya kiyemen na asili ya kioman. ukitaka kuoa uishi kwa raha hata kama huna kitu nakushauri uoe mwenye asili ya kiyemen lakini wengine utajuta

Nimecheka sana kuhusu wapemba je myemen nampataje
 
Ila papuchi ya....... ina nuka, sio ya huyo mbwa koko wako niarabu
 
Waswahili hawachelewi kusahau.Ndani ya uzi wako unasema "maji ya swimming pool safi na hayaoneshi...mchepuko ukakubusu na mkeo akawaona...lakini hakuuliza chochote..."
Sasa hivi unakanusha, kwamba hujachepuka.
Unawapotezea muda wenzako.

The Great Gatsby
Yeye ndo alinibusu sio mim. Na mim nilipokea busu lake nikidhania sionekani lakn pia binafsi sikuridhia kabsa kupgwa busu
 
tofautisha waarabu .kuna wapemba watu hujua ni waarabu sio kweli. kuna waarabu aina mbili hapa tz wenye asili ya kiyemen na asili ya kioman. ukitaka kuoa uishi kwa raha hata kama huna kitu nakushauri uoe mwenye asili ya kiyemen lakini wengine utajuta
Asili ya kiyemen utawatambuaje?? Maana hawa waarabu wetu tunaoongelea ni machotara utakuta baba mwarabu mama mchaga au baba mchaga mama mwarabu
 
Hao hawanaga mahusiano ya kutangatanga,
Akipenda anakupenda mazima,lakini ukimtenda vibaya huwezi kumrudisha hata ufanye vipi.lakini tofauti na jamii zetu ukiwa nao hao huwezi juta wala kujilaumu kwa lolote,wapo vizuri kila idara wanajipenda,wanajua kupenda,jikoni Ndo kila kitu...
Ukiwafuatisha hao hutokaa uoe mwingine.
Ni kama kutumia apple kisha upewe tecno.
Lakini kuwapata kwake inabidi ujipange hasaa kwa sababu wengi wana asili ya ubaguzi fulani linapokuja swala la kuolewa na watu wa jamii nyingine labda iwe umebeba.
Umeongea ukweli mkuu
 
Bado ni yale yale."...nikadhani hajaniona..."
Huo ndo usaliti mkuu.
Yeah nakiri nilifanya makosa zaid hata ya hlo.. Kinacho nishangaza kwa nini hakubali msamaha wakat mpak nilitoa machoz
 
Pole sana, inaonekana bado roho yako ipo kwake unampenda. Wengine tumeoa jamii ya hao hao ni kweli wanakuwa na mapenzi ya kweli ingawa wanapenda sana wanaume wenye rangi za chenza, halafu wengi wao wanaangalia sana vitu kama magari fedha na nyumba kali. Akikuchukia hata umpe nini hio ndio imetoka ila aikikupenda unaweza kumuendesha kwa jinsi unavyotaka. Mi nakushauri move on with your life ndoa ni mchakato mpana sana, tafuta ambae anakupenda na unampenda sana
 
Back
Top Bottom