Je Wasichana wa kiarabu wapo hivi?

Je Wasichana wa kiarabu wapo hivi?

Mkuu hii ni kawaida kwa mwanamke yeyote yule anayejithamini, kujitambua na maneno mengine mengi yenye maana sawa na hayo. Nnacho jua kuhusu hii jamii si stahimilivu sana kwa mambo ya fedhea/aibu styl hiyo.
Dah.. Nimepata funzo hata akitokea mwingine ntajua namna ya kuish nae kaka
 
Pole yako lakin hiv kwann wanaume hawaridhiki?? ata wapewe wanawake 100 bado wataitaj michepuko
Sikuchepuka yeye ndo alinikuta nipo kwny mausiano japo ya watu weng.. Baada ya kuamua kuish nae michepuko yote niliweka kando japo michepuko ilikuw inasumbua
 
Kaka we share the same experience!! Ila kwa kifupi 95%ya ulivyoviongea nahisi kama umeniongelea Mimi.tofauti ni kwamba Mimi alivyoniiacha hakwenda kwa rafiki yangu instead akahamia Tanga kwa shangazi yake .she smiles on me but ni fake smile. Ntakuja inbox kwako tu share zaidi ideas
 
Mtoa mada kuna jamaa yangu alipataga demu aliyechanganya na mhindi. Alikosea kidogo tu toka siku hiyo demu kakaza kumsamehe.

Msela kamlilia zaidi ya mwaka demu kamkazia ilikuwa wakikutana story fresh ila wakishaachana inakuwa kama wameanza upya.

Mwisho wa siku jamaa kakubali matokeo anaendelea na issues zake nyingine. So yawezekana hao watu neno msamaha kwao haliexist hata kidogo kosa moja kwao ndiyo imekula kwako mazima
 
Karibu sana kaka
 
Hawa watu ni waajabu sana.. Yan wanashndwa elewa binadamu tunamapungufu
 
Sikuchepuka yeye ndo alinikuta nipo kwny mausiano japo ya watu weng.. Baada ya kuamua kuish nae michepuko yote niliweka kando japo michepuko ilikuw inasumbua
Waswahili hawachelewi kusahau.Ndani ya uzi wako unasema "maji ya swimming pool safi na hayaoneshi...mchepuko ukakubusu na mkeo akawaona...lakini hakuuliza chochote..."
Sasa hivi unakanusha, kwamba hujachepuka.
Unawapotezea muda wenzako.

The Great Gatsby
 
Mtoa mada kuna jamaa yangu alipataga demu aliyechanganya na mhindi. Alikosea kidogo tu toka siku hiyo demu kakaza kumsamehe.

Msela kamlilia zaidi ya mwaka demu kamkazia ilikuwa wakikutana story fresh ila wakishaachana inakuwa kama wameanza upya.

Mwisho wa siku jamaa kakubali matokeo anaendelea na issues zake nyingine. So yawezekana hao watu neno msamaha kwao haliexist hata kidogo kosa moja kwao ndiyo imekula kwako mazima
Love issues can't be generalized as you're trying to make us believe.

The Great Gatsby
 
Ni mtazamo wa mtu na malezi ndio yanayosadifu tabia na mazoea yake wala sio race kama unavyotaka kutuaminisha
 
tofautisha waarabu .kuna wapemba watu hujua ni waarabu sio kweli. kuna waarabu aina mbili hapa tz wenye asili ya kiyemen na asili ya kioman. ukitaka kuoa uishi kwa raha hata kama huna kitu nakushauri uoe mwenye asili ya kiyemen lakini wengine utajuta
 
Back
Top Bottom