To me the question is, tunajuaje kilichobora ambacho chapaswa kuchukua nafasi badala ya CCM na viongozi wake? Je tunatafuta chama au watu?
Kwa wapinzani tuloikuwa nao hivi sasa sidhani kama watakuwa tofauti na CCM!Wengi wetu tuna angalia viongozi wa ngazi ya juu wa Upinzani hatuwajui viongozi wa ngazi za wilaya hadi mkoa.Wengi mpo nje ya Nje mnawasikia Mbowe,Slaa,Zitto au Lipumba .Mrema!Lakini wengi wa viongozi wa ngazi ya chini wa vyama vya wapinzani hamuwajui.Jamani kuna viongozi wa ngazi ya chini wa wapinzani wamechoka kiuchumi wa njaa hao sijapata kuona sasa itokee vyama vyao vinatawala watakuwa kama fisi mwenye njaa watatafuna nchi hao!CCM itakuwa mtoto!
Lakini sio mbaya tuwajaribu!Huenda wataleta maendeleo katika nchi!
..maendeleo ya tanzania yataletwa na wananchi wenyewe kwa kuchagua viongozi waadilifu na si kufuata ushabiki wa chama au kupewa vijisenti!
..ukitazama vizuri hata baadhi kwenye huo upinzani given a chance watakuwa mafisadi tu!
..tunahitaji viongozi nchi hii,regardless ya chama wanachotoka!
hapo nakuelewa kaka na ni kweli kabisa kuwa kuna kina mrema wananjkaa ile mbaya je tukiwapa nchi si ndo watataka kurudisha mwili faster?
Kwa argument kama hii, ni bora ccm waendelee kunyonya na kusaza kwa vile hatujui kina Mrema wakipewa nchi watafanya nini. Dr Watson alisema kitu somewhere na ninakitafuta kuona kama kina uhusiano hapa!
gang chomba,
Ndiyo maana nasisitiza tuwe na institutions zilizo na nguvu ya kufanya checks and balance, tuwe na katiba inayomuadibisha rais pamoja na mabadiliko mengine mengi, tuwe na bunge makini na siyo rubber stamp yetu hii, wananchi wenyewe wawe na elimu ya uraia pamoja na kuelimika kiujumla.
Tukiwa na institutions thabiti basi itakuwa haijaliki nani anachukua nchi, kama mfisadi au msafi, sheria, katiba, bunge, magazeti na wananchi watamkalia kooni mpaka mwenyewe atakuwa hana pa kupumlia.
Lakini tukisema wapinzani ni safi tuwape nchi bila kuwa na institutions za nguvu siwezi kushangaa wakiingia Ikulu wakajikuta kwenye vishawishi vya rushwa na challenge za kutatua matatizo magumu, sintoshangaa wakirudi nyuma na kujiingiza katika ufisadi.
This is just human nature, kwamba binadamu ni kama walivyosema waswahili, punda haendi bila kiboko, tukileta uzuri tutajikuta tunarudi pale pale.Inabidi tulete mabadiliko katika taasisis zetu ili mabadiliko ya utawala yawe na maana.

mmmmh mwafrika wa kike hapo swala la CCM kuendelea kutawala milele mi kidogo nakupinga ila naungana na puundit alivyosema sheria ziwe kali kuanzia kwa rais mpaka katibu tarafa sasa hapo ndo ufisadi na rushwa na mambo mengine ya maudhi yatakwisha nchi hii.
...This is just human nature, kwamba binadamu ni kama walivyosema waswahili, punda haendi bila kiboko, tukileta uzuri tutajikuta tunarudi pale pale.Inabidi tulete mabadiliko katika taasisis zetu ili mabadiliko ya utawala yawe na maana.
gang chomba,
Ndiyo maana nasisitiza tuwe na institutions zilizo na nguvu ya kufanya checks and balance, tuwe na katiba inayomuadibisha rais pamoja na mabadiliko mengine mengi, tuwe na bunge makini na siyo rubber stamp yetu hii, wananchi wenyewe wawe na elimu ya uraia pamoja na kuelimika kiujumla.
Tukiwa na institutions thabiti basi itakuwa haijaliki nani anachukua nchi, kama mfisadi au msafi, sheria, katiba, bunge, magazeti na wananchi watamkalia kooni mpaka mwenyewe atakuwa hana pa kupumlia.
Lakini tukisema wapinzani ni safi tuwape nchi bila kuwa na institutions za nguvu siwezi kushangaa wakiingia Ikulu wakajikuta kwenye vishawishi vya rushwa na challenge za kutatua matatizo magumu, sintoshangaa wakirudi nyuma na kujiingiza katika ufisadi.
This is just human nature, kwamba binadamu ni kama walivyosema waswahili, punda haendi bila kiboko, tukileta uzuri tutajikuta tunarudi pale pale.Inabidi tulete mabadiliko katika taasisis zetu ili mabadiliko ya utawala yawe na maana.
kwani mbona hata kibaki alikuwa hataki katiba kubadilishwa lakini mbona wakeii wakamkalia kooni mpaka imerekebishwa?
ni woga uliowajaa watanzania walio wengi na kwa kisingizio cha amani CCM wanazidi kujinufaisha matumbo yao
Nilijua hiyo itasababisha controversy,
actually binadamu ni worse than Punda, angalau Punda anaweza kusema ung'amuzi wake wa mambo ni mdogo.Binadamu hata baada ya ung'amuzi mkubwa wa mambo bado anakuwa fisadi by nature.Ndiyo maana ukomunisti umeshindwa Urusi, wakati wengine wakipanga foleni kupata mikate ya rationing, wakuu wa chama cha kikomunisti walikuwa wanajivinjari katika ma Dacha yaliyo kwenye posh suburbs za Muskva.Na hata maduka yao yalikuwa tofauti kwani walikuwa na Supermarket zao zina kila kitu kutoka west.
Lord Acton alisema power corrupt, absolute power corrupts absolutely.Binadamu is worse than Punda na hawezi kutegemewa ku act responsibly bila ya kuwekewa sheria, at least as far as the context of government is concerned ambako all sorts of weird groupthink and mob psychology zinatokea na kuwafanya hata watu rational waanze kufanya mambo ya ajabu within a group.
mkuu angalia formation ya bunge la kenya na ulinganishe na la Tanzania!