🔴🟢: مشهد للعبرة | درس في الوفاء والرحمة... الحيوانات تعلمنا أحيانًا قيمًا يفتقدها بعض البشر. 🐾❤️ في هذا العالم، لا تُقاس الإنسانية بالشكل أو النوع، بل بالأفعال. فكم من موقفٍ أظهرت فيه الحيوانات...
Wanyama wanahisia, silka, hulka na tabia tofauti kulingana na aina ya mnyama.
Wanyama hupokea taarifa, kutoa taarifa kwa wanyama wenzao kwa njia tofauti tofauti.
Wanyama wanacommunicate vizuri tu na binadamu.
Kwa waliowahi kuchunga mifugo au kuishi na mifumo.
Unaweza kuwasiliana na ng'ombe, mbwa, paka au mbuzi na mkaelewana vizuri tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.