je wanawake wazuri hawaolewi?

je wanawake wazuri hawaolewi?

bila kupamba wala nini, ningependa mnijuze wanajamvi kwa tafiti zenu, kama hili jambo lina uhalisia , ya kwamba wanawake wazuri hawaolewi. hivi wanaume wanafuata uzuri au inteligence???

"Inteligence"?
 
Wanawake wazuri wanaolewa ila wanawake warembo wanayo changamoto ya kutokuolewa au kuachika.Uzuri wa mwanamke siyo urembo bali tabia na penye urembo pana ulimbo, mwanaume gani haogopi kunasa ulimboni kunako limbwata,mateso,ufuska,mizinga au kuhusudu mambo ya kidunia?
 
ilisha juniour
vipi na ile circumstance unakuta mwaume hendisamisti kama obama kamwoa mwanamke sio kiviile kama , na mwanaume mwenye sura nzito kama 'jigga' kamwoa mwanamke mrembo.
inaletwa nanini hii???

kwa handsome kumuoa mwanamke mwenye sura ambayo haijakaa vzur kuna mawili,moja anaweza akawa amemkubali kutokana na akili ya maisha aliyonayo kitu ambacho kikapelekea atake kumuoa ili wajenge maisha,pili inaweza ikawa handsome kafata mali kwa mwanamke,na kwa hii kwa sasa ndo habari ya mjini,pia kwa upande wa pili mwanaume mwenye sura mbov akioa mwanamke beauty basi kwa asilimia zaid ya themanini ujue demu kafata mali ili aweze kupata pesa ya ku maintain uzuri alionao,na kawa wote wawili watakuwa na pesa basi mwanamke anakuwa kafata utamu na sio pesa
 
Umemaliza, kweli tupu.
 
hapa kuna ukweli mkuu?? au ni brain washed tu za vijarida vya udaku huku mtaani na nyimbo za taharabu zinawafanya watu kuwa ma-dreamer, mwishowe wengine wanapata ngoma
 
sasa hivi 90% ya wanawake ni Chinese
ofcoz kuna wale nliwajua ni mpingo siku hizi, ki-dijitali wame-change xana aixee
ila pia vidume vya mjini navyo haviko nyuma, vinajikoboa pia,kuwa kama wamanga.binafsi nilijua hii ni tabia ya wanamuziki wa kongo, naona nasi tumeiga hii tabia.
hawa kwenye ndoa wanaweza kuchanganya watu na kukuaibisha kwa ndugu na jamaa.
 
mwandishi ulipaswa kuweka wazi kuwa una maanisha uzuri wa tabia au wa sura? kwa muono wangu wanawake wazuri wa tabia hawakosa wanaume wa kuwaoa tena wanashindaniwa.
 
Heee mbona mimi na uzuri wangu nimeolewa!sijui unasemea uzur gani!
 
me nasikia huwa hawaolewi ila wanawake wazuri sana kwa sababu ,:
  • huwa wanajiona wa gharama sana, too selective na kujikuta baadhi ya wanaume kutaka kuwala kwa gharama yeyeto na kuwaacha
  • kujiamini kupiata kiasi na kusahau uzuri unaiisha na uzee unakuja.
  • baadhi ya wanaume kutokuwa tayari kuweka ndani wakiamni atachapiwa,
oh yes.
but hilo la kuogopa kuchapiwa. i think lina hulka ya wale wasiojiamini
 
say something please:smile-big:

Ebu nikuulize;
Christina Shusho ni mbaya?
Nargis Mohammed ni mbaya?
Iryn Namubiru ni mbaya?
Omotola je?
Ini Edo?

On top of that,
Hivi wababa wa jf walioowa....wote wake zao ni wabaya? Na wamama/dada wa humu walioolewa wote ni wabaya?

Aisee ebu acheni kupotosha watu wakaogopa kuoa wanawake wazuri, kwa kubase on the few dramma queens ambao tunawajudge kila siku!
 
Back
Top Bottom