Je wanawake wakimya na wapole hawana mambo mengi?

weee huna shida ya kuweka makundi. mwanamke yoyote mwenye papuchi nzima na alie gegedwa papuchi kabla ya kuolewa ni kicheche
 
Asikwambie mtu hakuna mtu Safi Kama huyo anaegawa namba hovyo! Wengine kumtongoza ufanye kazi maana maneno mengi kwahiyo hadi kumpata ujipange kweli!

naamini na wewe utakuwa kwenye hili kundi
pale nilibahatisha tu,
nigawie namba yako nihakikishe nije nitoe ushuhuda wa kweli
 
Hapana mkuu.. Imagine unamtongoza mdada kabla hujamaliza sentensi keshamalizia.

Unamuomba appointment ya kukutana ili kubanjuka anakwambia na eneo. Obvious utasita mwisho mtabaki kuwa washkaji tu....

kwa mtu ambaye hajui wanawake labda ndiyo itamtisha.........

ilikuwa kama hii?

Last edited by a moderator:
Ndugu, upole umeficha mengi kwa jinsia zote wanawake na wanaume, unaweza ukawa muona dada fulani ni mpole sana kumbe usiku utamkuta kwenye vigodoro na ukimkasirisha anaweza akakutolea matusi makubwa ya nguoni, WATU WAPOLE WANAITAJI UCHUNGUZI WA KINA LA SIVYO KAA NAO MBALI KABISA. Mwanamke mchangamfu mwenye marafiki wengi wa kiume anaweza akawa ni mtu ambaye anajiheshimu kupita kiasi ijapokuwa wapo wengine ambao ni vicheche.
 
Asikwambie mtu hakuna mtu Safi Kama huyo anaegawa namba hovyo! Wengine kumtongoza ufanye kazi maana maneno mengi kwahiyo hadi kumpata ujipange kweli!

Mwanamke anayegawa namba sana anaweza akawa ni mtu anayejiamini sana kwamba haogopi sound za kiume anajua jinsi ya ku-deal nazo, lakini wapo wengine ambao wana tabia ya kutoa namba ambao ni vicheche waliokubuu.
 
kila mwanamke kuna namna yake ya kumhandle. anaweza akawa mkimya lakini akawa ni mwanamke bora au vise versa, hata mapepe ni hivyo hivyo. tusigenaralise! Jaribu kwanza!
 
Nakubaliana na wewe mi nadhani tunachanganya mambo ; upole ni na ukimya ni vitu viwili tofauti kabisa.Mwanamke au mwanaumea au mtoto au kijana au mzee bora kabisa ni yule ambaye ni mpole.

Upole ni sifa njema hata kwenye dini .Kuwa mpole hakumaanishi kwamba huongei au huna mbinu za kupingana na tamaa mbaya mana uzinzi chanzo chake ni tamaa mbaya.Upole unajenga ustarabu.Mtu mpole ni yule asiyependa kujisifu na kudharau wengine au kuponda wengine.Mara nyingi mtu mpole anajiheshimu na kuheshimu wengine.Watu wapole mara nyingi wanakuwa wako bright hata shuleni,hawapendi ugomvi.Hawavutwi kwa haraka na mambo ya kihuni.
Nina mifano mingi ya wanaume na wanawake wapole ambao wamefikia mpaka umri wa kuoa na kuolewa wakiwa wanajiheshimu sana. Mtu mpole mara nyingi anachagua stori za kuongea.Unaweza ukakuta anapenda kuongea mambo ya maendeleo na masomo au siasa,anafuatilia taarifa kusoma vitabu.
Tatizo linajitokeza kwa mtu mpole ni pale anapojihusisha na mapenzi halafu akapata ujauzito anakua ni muoga wa kutoa mimba na kuona kua suala la kutoa mimba ni kosa na ni dhambi kubwa hivyo anaiacha na jamii ikiwemo wale vicheche machepere wananza kumnyoshea kidole kwa kusema mlikua mnamsifia fulani sasa mbona yeye ndo kapata ujauzito .Anajifanya mpole kumbe malaya mkubwa !!;maskini ya Mungu kumbe binti wa watu ndo tu alijaribu.

Kwa wale wanaoitwa wakimya hawa mara nyingi hawatabiriki kwani wanakua kama wanakiburi na hasira .Hawa mara nyingi ni wagomvi ,mara nyingine wanapigana kwa kitu kidogo tu na akishindwa kukupiga anajiadhibu mwenyewe kwa kugoma kula chakula au hata kujiua.
Hawa watu wakimya wanapatikana kirahisi mara nyingine lakini tu unapogundua kitu anachokipenda.Kama anapenda bia wewe unamnunulia bia tu wala usiongee maneno mengi ukajakumpandisha hasira then unaweka mkono kwapani unaeda kuua.
Hata kama anapenda pipi wewe nunu pipi tu kila ukimupna basi inatosha achana na mbwembwe.Hawa mara nyingi hawaangalii uhandsome au pesa ya mtu kwani sio wajanja. Unaweza ukawa na sifa za uhendsome ukampata kwa shida sana endapo utakuja na gia za mabusu hadharani na maneno mengi jambo ambalo linaweza kuamsha hasira zake ukakosa mzigo.
Tatizo la hawa ni pale wanapopata mimba hawana wanaendelea kuwa kimya mpaka mimba inakuwa kubwa na hawana ujanja wa kutoa au hata kujuana na wataalam wa kutoa au hata kusimulia mashost zao ili wapate msaada wa kutoa.Hivyo nao jamii inawanyoshea kidole kwamba wanajifanya wakimya kumbe malaya wakubwa.Na kwa sababu ni wa kimya hata kama walibakwa hawasemi hivyo kujulikana kama ni malaya wa chini chini.

Kundi la machepere wabkugawa namba za simu kwa kila mtu na kuchukua namba za wimu za watu wengi hasa wanaume.
Hili ni kundi la wanawake wasanii wa kila namna. Hawa usipokua nao makini huwezi kudimu nao kwenye mapenzi.Anaweza akakutana na mwanaume na kukumbatiana naye mbele yako.Kumuita kila mwanaume baby kwenye simu ni jambo la kawaida.Hawa mara nyingi wanakua wamepitia misukosuko mingi ya kimapenzi.Wanakuwa na wanaume wengi kwa sababu ya kuachika mara kwa mara na wapenzi wao kwa kuhisiwa kuwa ni malaya.Hawa wanawake ni pasua kichwa kwenye ndoa. Mara nyingi hawa ni wale wanawake wajanja. Wanapenda starehe na kujirusha,kwenda disko beach na kwenye club. Wana tamaa za vitu vizuri .Hawa mara nyingi wanapenda wamaume machachari na mahandsome au wanaume wenye majina na wenye fedha.Hawapendi mtu maalum zaidi ya kuangalia mwenye sifa zaidi kama nilivyotaja.Kama anamchumba wake na akajitokeza mwingine handsome zaidi au mwenye fedha zaidi ni rahisi kuhamisha mapenzi.Ndio maana kwao kila mwanaume wanamchangamkia ili kupima kama ana hizo sifa.
Hawa wanawake wa namna hii ni mabingwa wa kukwepa na kutoa mimba.Hawaoni aibu kumwambia mwanaume avae kondom wakati wakiwa kitandani.
Na ni wepesi wa kutafuta watalam wa kutoa mimba.Hali hii inasababisha wengi wanaonekana ni machepere lakini hawajihusishi na ngono kwa sababu tu hawaonekani wakiwa na ujauzito.

Ikumbukwe kuwa kunaMachepere lakini wana homoni za kiume zaidi sizungumzii hao.
 
Hivi suala la kugawa namba nalo bado linatumika kum classify mwanamke katika tabia Fulani? Tubadilike jamani, mi hakuna mtu nishawahi kumnyima mawasiliano hata siku moja ukileta mitongozo lazma ujiju.
 
Wewe umeongea kweli...upole kwanza mengine yatafuata...

Mapepe wengi wako hivyo hivyo nje ndani...

Ndio maana mpole akichemsha inakuwa gumzo kwani hategemewi kufanya hayo...

Back
Top Bottom