Je wanawake wakimya na wapole hawana mambo mengi?

Je wanawake wakimya na wapole hawana mambo mengi?

"Ukimsemesha anakuwa mkali kweli kweli"

sasa huyo kweli ni mpole?
 
wapole wengi wanaudhaifu ndani yao, wanaogopa wakikupa chansi ya kuongea nao sana watakubali haraka

hawa wenye fujo wengi wagumu kuwaingia ukileta hizi yeye analeta zile
Kweli kabisa mkuu.....
 
Ukiona unatongoza na unajibiwa mkato jua hujamgusa kunako
 
Ucjidanganye kwa upole wake matendo yake nayo niya kimya.kimya ....bora zimwi likujualo...............
 
Back
Top Bottom