Mbona hukunipa feedback? jamaa mumeonana naye? biashara imefayika au?. miaHakuna mwanamke asiyelika..........
kama unampango wa kuoa wewe jilipue tu , huwezi kumchunguza kuku namna hiyo...... hutamla yakhe.
Hahahahahahahah
Sure mkuu..
Wale ambao hata salam ni shida waogope km ukoma
Ugawaji wa papuchi hovyo hovyo hauna uhusiano wowote ule na ukimya au u mapepe wa mtu..!
Mapepe ndio mpango mzima... make anakuwa mapepe mdomoni lakini humvui ng'o!
Kuna mkaka flan best yangu sana, sasa akakutana na mdada mapepe balaa nusura ya mkosi.
Jamaa akaona kapata mlupo, si akaanza kurusha mistari. Mdada akamwambia wala huna haja ya kuzunguka we sema lini tukabanjuane.
Weee mkaka hakujaribu tena ikabaki mdada ndio anamuuliza lini bana! Kumbe mdada hakuwa hata na wazo la kutoka na yule kaka.... Mwisho wa siku wakabaki mabest tu
Be careful, wale wakimya na wapole ni hatari make wanavulia kama samaki!
Niaje love. miawaelimishe hawa maana kila mtu ni mtafiti siku hizi.
Niaje love. mia
wapole wengi wanaudhaifu ndani yao, wanaogopa wakikupa chansi ya kuongea nao sana watakubali haraka
hawa wenye fujo wengi wagumu kuwaingia ukileta hizi yeye analeta zile
Upole bila ucha Mungu ni 0