Je wanawake ndivyo mlivyo tukiwa mbali nanyi?

Tatizo la desperado.
Sasa kaka wa watu kaolewa nigeria kapelekwa uk, mama ndo bread winner na ndo anawin butter and tonella kwa kulala na pastor. Atamuaminije mkewe hapo? Na yeye ndo kula kulala? Ugumu wa maisha ni wa kujitakia sometimes.
 
uaminifu wa mapenzi inabidi ufutwe kwenye kamuzi tujizoelee tu kuwa haupo tena.
 
.....how can he trust you again if you can cheat among all the people, with a man of collar, aka the preacher aka spiritual advisor?
 
Back
Top Bottom