MjuviKitambo
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 711
- 817
Acha kabisa hizo makitu, tam tam laiiiiiini, beach ndio maeneo yangu ya kujidai mie naitaga kiduchu, Saadani national park wakati wa sunset kwenye upepo mwanana wa bahari ya Hindi niko na mtoto ng'ari ng'ari...... aisee acheni Mungu aitwe Mungu .