Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,453
- 8,437
Hizo nguo nyeusi zinaingiza joto jingi la jua na kumfanya mvaaji kujisikia vibaya. Wanatamani wawe free kama huyo dada wanayemkodolea macho.
Ha ha ha ha... e bana taratibu lkn wenyewe wasije kukumind patachafuka hapaWao wako jela, mwenzao yuko huru. Wanautamani huo Uhuru. Kama wanakwenda club vile!
Ha ha ha ha... e bana taratibu lkn wenyewe wasije kukumind patachafuka hapa
Ngoja aje yule mwenye jina herufi za mwanzo kama zangu hapa
Hizo nguo nyeusi zinaingiza joto jingi la jua na kumfanya mvaaji kujisikia vibaya. Wanatamani wawe free kama huyo dada wanayemkodolea macho.
Wao wenyewe hao ukiwafunua humo hawana kitu hayo mababui huficha mengiii
Ila hadi uwafunue... . Hahahaha umekurupukaaaa au kwa kuwa sijakupikia chapati za nyama?
Wao wenyewe hao ukiwafunua humo hawana kitu hayo mababui huficha mengiii