Je Wanafunzi huyu aliona kitu gani?

Je Wanafunzi huyu aliona kitu gani?

July Fourth

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Posts
2,240
Reaction score
795
Mwalimu ;" wewe john unacheka nini?"
John ; "mwalimu Umekaa vibaya nimeona mapaja yako "
Mwalimu ; "huna adabu wewe toka nje nisikuone
mpaka kesho"
Mwalimu ; "na wewe Michael unacheka nini??"
Michael; "mwalimu nimeona kamba ya
bikini yako"
Mwalimu ;" shenzi wewe toka nisikuone mpaka next week"
Mwalimu ; "na wewe Jose vipi??"
Jose ; " "mwalimu nimeona tattoo yako"
Mwalimu ;"hii mitoto,toka nisikuone mpaka mwezi ujao"
Mwalimu ; "na wewe Eric unaenda wapi
sasa???"
Eric; "nilichokiona mwalimu nadhani nimefukuzwa shule kabisa."
 
Maybe kaona Mwalimu anakula Maharage vipi? Mbona Kiarage kimedondokea kubaya?
 
Mtoto akili kumkichwa kaamua kujifukuzisha maana kaona makubwa, nyc one mkuu
 
lunch ya leo safiiii!! kitu cha KITUNDU na KIARAGE cha Mbeya
 
Back
Top Bottom