Je Wanafunzi huyu aliona kitu gani?

Je Wanafunzi huyu aliona kitu gani?

kizazi cha nyoka hiki, kila kitu kinajua, mitoto ya siku hizi balaa!!
umeona eeh? Zamani ulikuwa ukimuuliza mama kwamba "mtoto umemtoa wapi?" anakujibu nimemnunua..
Siku hz wanajua anatoka wapi <remakbly 8yrs>
 
Mwalimu ;" wewe john unacheka nini?"
John ; "mwalimu Umekaa vibaya nimeona mapaja yako "
Mwalimu ; "huna adabu wewe toka nje nisikuone
mpaka kesho"
Mwalimu ; "na wewe Michael unacheka nini??"
Michael; "mwalimu nimeona kamba ya
bikini yako"
Mwalimu ;" shenzi wewe toka nisikuone mpaka next week"
Mwalimu ; "na wewe Jose vipi??"
Jose ; " "mwalimu nimeona tattoo yako"
Mwalimu ;"hii mitoto,toka nisikuone mpaka mwezi ujao"
Mwalimu ; "na wewe Eric unaenda wapi
sasa???"
Eric; "nilichokiona mwalimu nadhani nimefukuzwa shule kabisa."

You made my day.....
 
ina maana hilo darasa lilikuwa lina watoto wa kiume tu?
 
Mwalimu ;" wewe john unacheka nini?"
John ; "mwalimu Umekaa vibaya nimeona mapaja yako "
Mwalimu ; "huna adabu wewe toka nje nisikuone
mpaka kesho"
Mwalimu ; "na wewe Michael unacheka nini??"
Michael; "mwalimu nimeona kamba ya
bikini yako"
Mwalimu ;" shenzi wewe toka nisikuone mpaka next week"
Mwalimu ; "na wewe Jose vipi??"
Jose ; " "mwalimu nimeona tattoo yako"
Mwalimu ;"hii mitoto,toka nisikuone mpaka mwezi ujao"
Mwalimu ; "na wewe Eric unaenda wapi
sasa???"
Eric; "nilichokiona mwalimu nadhani nimefukuzwa shule kabisa."

Kweli wote wamedata ila walimu aina hiyo wapo wanapenda kuwabaka vijana
 
Hatari mwlimu huyu nami nataka niwemo darasani kwake nione chachandu zake kimtindo
 
Back
Top Bottom