Yes, anajua kuwa wewe ni wa motoni au mbinguni lakini haiondoi dhana kuwa Yeye hana cha kupoteza.
Loser au winner ni wewe binadamu ambaye umepewa Practice Standards (Sheria 10 za Mungu) aidha uzifuate au uzipige chini kadiri free will yako itakavyokutuma ufanye.