Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,349
- 8,081
Habari zenu wakuu,swali Hilo linanisumbua Sana,je Ni kweli tuna uwezo WA kuamua nini cha kufanya juu ya maisha yetu??je tuna uwezo WA kuchagua wema au ubaya??sio hatma yetu imeshaamriwa kabla??nimesoma thread ya member flani akizungumzia kisa cha Yuda na Yesu,je yuda alikua na free will au tayari ishapangwa aje amsaliti yesu???..karibuni..
umemjibu vyema.Kwenye history nakumbuka mwal Wangu aliniambia
..baba 1st gen
Mtoto 2nd gen
Mjukuu 3rd gen
Kitukuu 4th gen....
Kama unafuata Sheria za nchi.... Huna maamuzi huruFree will inawezakana tena pasipo upinzani wowote inategemea na ukuaji wa mwanadamu katka ukuaji wake....
Kinachomaliza nguvu hii ya maauzi utakayo ni IMANI hasa hizi za dini na makabila,ila kuu zaidi ili la huu uongo wa dini unamaliza sana hii kitu FREE WILL..,
mtu anaamini kuwa hana makamilifu hashituki analifaam jema na baya,mtu anaamini ana dhambi ya asili hashituki ni wapi alithibitisha hilo zaidi ya kuletewa hizo hadithi....
Mtu anaamini kuna mungu ambaye ndiye mwenye power zaid ya chochote duniani,hashituki huyo mungu ni nani na ni nini yaani yupoje,anapewa neno la kumridhisha linaitwa UWEPO,tafakari nn maana ya uwepo...ina maana ww bakia tu au simama hapo hapo ila icho kitu kipo endelea kukingoja ama kukiamini....
Mimi kama mimi huu uwezo wa free will ninao na ninatumia katka maisha yangu ya kila siku siwez kupangwa ama kuendeshwa na imani za ajabu ajabu....
karibu mshana,sikutegemea ungekuja na jibu zuri,fupi,na la kueleweka..so IMANI ndio ina hathiri free willFree will ni uhuru wa mustakabali wako.. Ni nguvu isiyo na uwezo wa kuidhibiti kimwili.. Ni mtazamo wenye asili ya roho na kila mtu huwa nayo utotoni
Lakini kadiri makuzi yanavyoendelea nguvu hiyo huuliwa taratibu na mila desturi imani na elimu
. mila kuna limitations nyingi kwenye mila unaambiwa hairuhusiwi kufanya hili au lile..
. imani unaambiwa kutokana na imani yetu ukisema hivi unakosea
. elimu zetu ni za upande mmoja huku wengi sana wakinyimwa elimu za kiroho utambuzi na ugunduzi
Kosa lilifanyik kizazi cha ADM...alkn Mbona adhabu zinaendelea hadi Leo?Ana maana kizazi chako.hadi cha nne..hakua na maana ya adamu..
Hapana hiyo ni tafsiri kwa mtazamo wakoTukisem free will INA maana Sheria za nchi tutaweka pembeni....
Mkuu ni vyema ungemalizia huo mstari maana umeutamka nusu tu.katika amri za mungu ya pili anasema "nami nawaptiliza wana na maovu ya Baba zao,hata kizazi cha tatu na cha nne wanichukiao...so kama mzee Wako alikosa,,utahukumiwa hadi wewe..
UmenenaMkuu kila kitu nimpango wa Mungu, kama mtu huijui kesho yako kuna haja gani ya kujisifu!!
Mmh! Mkuu hapo umenena kwa mtu mwenye kufikiri!upo hapo coz uliamua uwe hapo,au mapenzi ya mungu yamefanya uwe hapo?
Mi nadhani kuwa ni mipango endelevu ilishapangwa before! Adam kuasi tu hapo hapo ikaja kitu kurithi dhambi ya asili! Wakati hata hakuwahi ambiwa kama ukifanya kosa utarithisha vizazi!Uhuru wa kuchagua upo ndio maana sisi tuko dhambini maana Wazazi wetu Adam na Hawa walichagua kuasi sheria ya Mungu, isingelikuwa hivyo basi dhambi isngeweza kuwepo maana viumbe vyote vingemtii Mungu bila ridhaa yao yoyote.
Alishapanga kitambo tu!!Je Mungu kapanga mm nitaingia motoni au peponi..?
kama unasoma bible vizuri,sisi hatuna adhabu tena,Yesu katuokoa,,Kuna mstari unasema kwaajili ya mtu mmoja ulimwengu wote,umetenda dhambi,na kwa mtu mmoja wote tumeokolewaKosa lilifanyik kizazi cha ADM...alkn Mbona adhabu zinaendelea hadi Leo?
Adhabu alizopewa adam na hawa juu ya uasi wao zimeisha?kama unasoma bible vizuri,sisi hatuna adhabu tena,Yesu katuokoa,,Kuna mstari unasema kwaajili ya mtu mmoja ulimwengu wote,umetenda dhambi,na kwa mtu mmoja wote tumeokolewa
swali zuri,sijajua nikujibu kwa mujibu WA bible inavyofundisha ama laaah..coz mambo hayo kama yamenipitia kushotoAdhabu alizopewa adam na hawa juu ya uasi wao zimeisha?
Kula kwa taabu
Kuzaa kwa uchungu
Kifo....na mengine....
Zimeisha ukisimama kwenye mstari wako wala huwezi kuzitumikia izo adhabu...Adhabu alizopewa adam na hawa juu ya uasi wao zimeisha?
Kula kwa taabu
Kuzaa kwa uchungu
Kifo....na mengine....
Hahahaha ukizungumzia dini hapo tayari Uhuru ushautoaswali zuri,sijajua nikujibu kwa mujibu WA bible inavyofundisha ama laaah..coz mambo hayo kama yamenipitia kushoto
Hata kifo?Zimeisha ukisimama kwenye mstari wako wala huwezi kuzitumikia izo adhabu...
Kwann kuumba wabaya?Kuna mahali nlisoma kwenye maandiko panasema
MUNGU ALIUMBA KILA JAMBO KWA MAKUSUDI YAKE HATA WABAYA KWA SIKU YA UBAYA
Thank God kuna neema ya toba na Mungu ni Mungu wa huruma