Je, wanaCCM wenzie wameshaanza kumgeuka?

Je, wanaCCM wenzie wameshaanza kumgeuka?

Kagame has managed to infiltrate this country through this guy in the state house, he is none other than the agent of Kagame whose main objective is to create instability in our country, we have to stay vigilant to make sure our country stay united despite our political differences. How do we achieve that? if possible get rid of him!!

Secondly
 
Hao ccm na mwenyekiti wao wote mashetani tu maana hadi wabunge wa ccm ndo mhuri wa serikli kupitishia uchfu wote tunaohangika kuuondoa miaka yote.....
ccm hawaaminiki na hawajawahi kuaminika hapo ni kuwa wanatfuta huruma ambayo hawawezi kuipata
 
Nyie maf.ala mnaangaika Sana mitandaoni.Naanza kuamini hamna kazi nyingine za kufanya, ila mkija kushtuka umri umewatupa mkono,serikali ni hii hii,CCM ni hii hii,katiba ni hii hiihii, tume ni hii hii na Raisi wa Jamhuri ni John Pombe Joseph Magufuli mpaka 2025.Haya mengine mnapoteza time tu.
Inamaana na wewe huna kazi ya kufanya ndiyo maana Uko mtandaoni.
 
Back
Top Bottom