Je, wanaCCM wenzie wameshaanza kumgeuka?

Kwenye mitandao watu hufarijiana mambo ambayo hayapo
 
Nimeanza kuyakumbuka maneno ya Mheshimiwa Tundu Lissu kuwa mtu huyu akishaumaliza upinzani atakuja kwenu CCM, kwa kuwa historia duniani kote ya "madikteta" duniani ndiyo "formula" yao ya kuanza na upinzani na hatimaye kumalizana na wale "wanaowashwawashwa" ndani ya chama chake!
Uko sahihi kabisa !!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nyie maf.ala mnaangaika Sana mitandaoni.Naanza kuamini hamna kazi nyingine za kufanya, ila mkija kushtuka umri umewatupa mkono,serikali ni hii hii,CCM ni hii hii,katiba ni hii hiihii, tume ni hii hii na Raisi wa Jamhuri ni John Pombe Joseph Magufuli mpaka 2025.Haya mengine mnapoteza time tu.
Haya mama tumekusikia kwani nani anabisha
 
Na kuna wale waliosema wana imani na lowassa unadhani amewasahau kazi wanayo
 
"..mtu huyu akishaumaliza upinzani atakuja kwenu.."

kuna ambao hawajashtuka...na picha liendelee.
Hali halisi ndiyo hiyo........

Mwenye masikio na asikie na mwenye macho naye aone..........
 
wakumkosoa mbowe ndo hamna ila ccm mbona wanakosoana tu mara kibao...embu jengeni chama chenu kwanza wananchi tupate namna ya kugawa kura
 
Hivi inakuwaje Mwenyekiti wenu anazuia mikutano ya vyama vya upinzani hadi mwaka 2020, wakati chama chake cha CCM kila kukicha viongozi wake mbalimbali wanazunguka nchini kote wakitangaza Sera zenu??

Halafu hapo hapo unaita nchi ina mfumo wa vyama vingi.......... seriously??
 
Hilo ndilo swali la msingi ambalo sisi watanzania tunapaswa kujiuliza, kwa kuwa kumeanza kujitokeza wanaccm ambao wameanza kuukosoa waziwazi utawala huu wa serikali ya awamu ya 5 ambapo hapo kabla ilikuwa haiwezekani kufanyika kitu kama hicho na badala yake tuliwazoea wapinzani pekee wakipambana na hali hii ya kupigwa risasi mchana kweupe na watu "wasiojulikana" kutekwa kwa raia mbalimbli na baadaye kupatikana, matukio ya kuuawa wananchi wasio na hatia na matukio mengi ya aina hiyo yamekuwa ya kawaida sana kwenye utawala huu wa serikali ya awamu ya 5

Wapinzani wamelalamika wee, wanaharakati wa haki za binadamu wamepigia kelele wee na baadhi ya viongozi wa dini nao wamelalamika weeee........ Lakini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa kukomesha hali hiyo.

Tukaamza kuona mabandiko ya wanaccm kwenye mitandao ya kijamii, lakini Mara tu inapobainika na kuwekwa wazi kwenye jamii kuwa waliobandika mabandiko hayo ni wanaccm, watumiaji hao Mara moja wamekuwa wakikanusha kuwa siyo wao waliopost hizo taarifa na badala yake account zao zimekuwa hacked!

Refer taarifa za kukanusha za akina Ole Sendeka, Ridhiwan Kikwete na Shyrose Bhanji

Lakini hivi sasa wamejitokeza wanaccm "majasiri" na kueleza waziwazi msimamo wao kuwa hawakubaliani na mfumo wa kisiasa unaoendeshwa na utawala wa awamu ya 5

Wanaccm ambao wameonyesha kuupinga waziwazi mfumo huu serikali ya awamu ya 5 kwa kuwataja wachache tu ni Hussein Bashe na Nape Nnauye

Nimeanza kuyakumbuka maneno ya Mheshimiwa Tundu Lissu kuwa mtu huyu akishaumaliza upinzani atakuja kwenu CCM, kwa kuwa historia duniani kote ya "madikteta" ndiyo "formula" yao ya kuanza na upinzani na hatimaye kumalizana na wale "wanaowashwawashwa" ndani ya chama chake!

Hatimaye watanzania wote bila kujali itikadi zetu za kisiasa tumeamua kuupinga utawala huu kwa nguvu zote.

Kwa kuwa tumeona ndiyo njia pekee iliyobaki kabla Taifa letu halijasambaratika na kuelekea shimoni.

Mungu ibariki Tanzania
Watanzania gani wameamua kuupinga utawala huu kwa nguvu? Mtaishia kuongea mitandaoni tu lkn hakuna kitu maana Bro. Magu kaziba mianya yote ya upigaji haya sasa ndo maisha yetu halisi yale mengine yalikuwa ya kuigiza tu..!!
 
Kina bashe ni wakenya au
 
Watanzania gani wameamua kuupinga utawala huu kwa nguvu? Mtaishia kuongea mitandaoni tu lkn hakuna kitu maana Bro. Magu kaziba mianya yote ya upigaji haya sasa ndo maisha yetu halisi yale mengine yalikuwa ya kuigiza tu..!!
Maisha yetu halisi ya kuwaona wapinzani kuwa sawasawa na WAHAINI ndani ya nchi yao??
 
Hilo ndilo swali la msingi ambalo sisi watanzania tunapaswa kujiuliza, kwa kuwa kumeanza kujitokeza wanaccm ambao wameanza kuukosoa waziwazi utawala huu wa serikali ya awamu ya 5 ambapo hapo kabla ilikuwa haiwezekani kufanyika kitu kama hicho na badala yake tuliwazoea wapinzani pekee wakipambana na hali hii ya kupigwa risasi mchana kweupe na watu "wasiojulikana" kutekwa kwa raia mbalimbli na baadaye kupatikana, matukio ya kuuawa wananchi wasio na hatia na matukio mengi ya aina hiyo yamekuwa ya kawaida sana kwenye utawala huu wa serikali ya awamu ya 5

Wapinzani wamelalamika wee, wanaharakati wa haki za binadamu wamepigia kelele wee na baadhi ya viongozi wa dini nao wamelalamika weeee........ Lakini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa kukomesha hali hiyo.

Tukaamza kuona mabandiko ya wanaccm kwenye mitandao ya kijamii, lakini Mara tu inapobainika na kuwekwa wazi kwenye jamii kuwa waliobandika mabandiko hayo ni wanaccm, watumiaji hao Mara moja wamekuwa wakikanusha kuwa siyo wao waliopost hizo taarifa na badala yake account zao zimekuwa hacked!

Refer taarifa za kukanusha za akina Ole Sendeka, Ridhiwan Kikwete na Shyrose Bhanji

Lakini hivi sasa wamejitokeza wanaccm "majasiri" na kueleza waziwazi msimamo wao kuwa hawakubaliani na mfumo wa kisiasa unaoendeshwa na utawala wa awamu ya 5

Wanaccm ambao wameonyesha kuupinga waziwazi mfumo huu serikali ya awamu ya 5 kwa kuwataja wachache tu ni Hussein Bashe na Nape Nnauye

Nimeanza kuyakumbuka maneno ya Mheshimiwa Tundu Lissu kuwa mtu huyu akishaumaliza upinzani atakuja kwenu CCM, kwa kuwa historia duniani kote ya "madikteta" ndiyo "formula" yao ya kuanza na upinzani na hatimaye kumalizana na wale "wanaowashwawashwa" ndani ya chama chake!

Hatimaye watanzania wote bila kujali itikadi zetu za kisiasa tumeamua kuupinga utawala huu kwa nguvu zote.

Kwa kuwa tumeona ndiyo njia pekee iliyobaki kabla Taifa letu halijasambaratika na kuelekea shimoni.

Mungu ibariki Tanzania
mkuu, upo sahihi lakini tatizo magamba yote yana bei.
hakuna gamba mwenye nia ya kweli ya kupigania maslahi ya Watanzania zaidi ya wao wenyewe binafsi.

watakatiwa tu mzigo wa kuwatosha na wataendelea kumuunga mkono yule "mungu" wao. umesahau zile 10M wabunge wao?
 
Nyie maf.ala mnaangaika Sana mitandaoni.Naanza kuamini hamna kazi nyingine za kufanya, ila mkija kushtuka umri umewatupa mkono,serikali ni hii hii,CCM ni hii hii,katiba ni hii hiihii, tume ni hii hii na Raisi wa Jamhuri ni John Pombe Joseph Magufuli mpaka 2025.Haya mengine mnapoteza time tu.
Neno
 
Back
Top Bottom