Je, wanaCCM wenzie wameshaanza kumgeuka?

Je, wanaCCM wenzie wameshaanza kumgeuka?

Kwa kuwa tumeona ndiyo njia pekee iliyobaki kabla Taifa letu halijasambaratika na kuelekea shimoni.

Yawezekana ni vyema kwenda shimoni ili tukapate akili, na tukitoka huko tutakuwa na adabu na kuheshimiana.
 
BAVICHA kwa kujipa moyo hakuna anayewazidi!

Endeleeni kulishana upepo wa kisiasa wakati CCM inazidi kujiimarisha kisiasa.
Huwezi kujiimarisha kisiasa wakati hufanyi siasa. Ccm kwa sasa haifanyi siasa inafanya ubabe Wa kisiasa. Siasa inafanywa kwa hiari bila vitisho na urubuni wa ahadi za vyeo au fedha. Hakuna mapenzi ya lazima, hakuna mapenzi ya shinikizo. Ukiona mtu anakupenda kwa sababu ya nguvu zako ujue Zikiisha atakuwa Wa kwanza kukupiga mawe.
 
Mkuu hakuna mwana ccm aliyemtaka huyu jibwana,wana ccm ni wale walokuwa dodoma kumpigia kura kumtafuta rais na waliiimba xana tuna imani na EDO,Jk akawa mwekundu.Hao ndo wenye CCM,na ndo wamewakilisha watanzania kutuchagulia rais.hawa hawakumtaka na kamwe hawatamtaka huyu alowekwa na mkapa,wana ccm 60/40 ni EDO/MEMBE huyu mwehu alipenya kwa ujinga wa Jk kutaka kufanya nchi iwe ya ukoo wa panya buku kama koo za ki chief.So wale jamaa 3000+ pale chimwaga ndo ccm,na hakuna ubishi hawakumtaka na kamwe hawatamtaka jibwana huyu.
Umeongea ukweli mtupu
 
Na haya wala hayavumiliki yanamwisho, sidhani kama kweli uongozi wa jf hawaoni hiki kinachoendelea, kuhujumu mamlaka halali ya nchi ni uhaini.
Kampangie mkeo maneno ya kuongea sio Watanzania. Unayemmiliki ni mkeo siyo sisi, tena koma kabisa. Hakuna aliyekuita humu Jf na huna hisa yoyote jf kwa hiyo huwezi kuwapangia cha kufanya. Mmewakamata kina Mello mkawafungulia kesi za kubumba Leo ndo mjifanye mnaipenda Jf wakati mnatamani itoweke hata Leo.
 
na wewe Kwa akili zako unahangaika na hao vibwengo?
1.Aliefungia Bunge live hivi ni nani tena........ .....? Kisa hana uwaziri anajifanya kupiga domo? Akafie mbali huyo vuvuzela.
Na huyo msomali hua anapayuka payuka TU kutafuta kiki ili apewe uwazir hana jipya ni njaa znamsumbua
Unajuwaje labda jamaa wa CCM akili zishaanza kuwarudi??
 
Kampangie mkeo maneno ya kuongea sio Watanzania. Unayemmiliki ni mkeo siyo sisi, tena koma kabisa. Hakuna aliyekuita humu Jf na huna hisa yoyote jf kwa hiyo huwezi kuwapangia cha kufanya. Mmewakamata kina Mello mkawafungulia kesi za kubumba Leo ndo mjifanye mnaipenda Jf wakati mnatamani itoweke hata Leo.
Mtu mwenyewe bilabila, hao watanzania ni akina nani kwa tafsiri yenu hasa? mnamaanisha watanzania ni wale wanaomtukana Mhe. Rais na wanaomuunga mkono ni akina nani? afu nyie ndo mnajinasibu kupigania demokrasia wakati hata maana ya demokrasia hamjui ni nini?!!!!
 
Huyu ndo alochaguliwa kuwa rais wa ccm,huyo mwingine hayupo mioyoni mwao,ccm ni wanafiki wakubwa saa hizi kimya wanamwangalia tu kwa kupiga chabo

Naomba wataalam wa IT waweke hii video vizuri pls
 
BAVICHA kwa kujipa moyo hakuna anayewazidi!

Endeleeni kulishana upepo wa kisiasa wakati CCM inazidi kujiimarisha kisiasa.
Mku mimi ni mwanaccm ila siasa sio chiki kama hizi zinazooteshwa kwa kutumia nguvu kubwa ambayo mwisho wake hakuna atakaye faidi zaidi ya Taifa kufarakana
 
Unajuwaje labda jamaa wa CCM akili zishaanza kuwarudi??
Hawa jamaa hua ni sometime yes sometime No. Ukiona wanaongea sana ujue ni kwa maslahi yao wala sio ya nchi. Kesho atapinga hili kesho ataipigia makofi hoja hio hio
 
Jibu ni "Bado hawajaanza kumgeuka"
Ukweli wenyewe ni kuwa utawala huu siri yake ya kuendelea kuwepo madarakani, ni kwa kulitumia Jeshi la Polisi kuwakanfamiza wapinzani kwa manufaa ya CCM

Siku Polisi wetu akili zao "zikiwarudi" na wakatakeleza majukumu yao according to Katiba ya nchi, siku hiyo hiyo ndiyo mwisho wa CCM kuendelea kutawala nchi hii!
 
Hawa jamaa hua ni sometime yes sometime No. Ukiona wanaongea sana ujue ni kwa maslahi yao wala sio ya nchi. Kesho atapinga hili kesho ataipigia makofi hoja hio hio
Lakini lazima tujiulize kuwa siku za nyuma, haikuwa rahisi kwa mwanaccm kuupinga utawala huu waziwazi kama wafanyavyo sasa

Hapo ndipo kwenye swali langu la msingi, je wanaccm weshaanza kumgeuka Mwenyekiti wao, kutokana na kutaka kuiendesha hii nchi kibabe??
 
Mku mimi ni mwanaccm ila siasa sio chiki kama hizi zinazooteshwa kwa kutumia nguvu kubwa ambayo mwisho wake hakuna atakaye faidi zaidi ya Taifa kufarakana
Bahati nzuri umejitambulisha kuwa wewe ni mwanaccm, lakini hupendezewi na mfumo unaoendeshwa wa serikaki ya awamu ya 5 ya kuwatreat wapinzani kama wahaini ndani ya nchi yao!

Ni dhahiri kwa sasa wapo wengi wanaccm wenyewe hisia kama zako, Bali wamejawa hofu kielezea hisia zao

Ni vyema sasa kama kweli tunataka kulikomboa Taifa letu lisiingie kwenye machafuko, ni wajibu wa kila mtanzania bila kujali itikadi yake ya kisiasa, kukemea kwa nguvu zetu zote hii hali iliyojitokeza katika awamu hii ya 5 ya ukandamizaji wa hali ya juu wa demokrasia nchini kwetu
 
Hilo ndilo swali la msingi ambalo sisi watanzania tunapaswa kujiuliza, kwa kuwa kumeanza kujitokeza wanaccm ambao wameanza kuukosoa waziwazi utawala huu wa serikali ya awamu ya 5 ambapo hapo kabla ilikuwa haiwezekani kufanyika kitu kama hicho na badala yake tuliwazoea wapinzani pekee wakipambana na hali hii ya kupigwa risasi mchana kweupe na watu "wasiojulikana" kutekwa kwa raia mbalimbli na baadaye kupatikana, matukio ya kuuawa wananchi wasio na hatia na matukio mengi ya aina hiyo yamekuwa ya kawaida sana kwenye utawala huu wa serikali ya awamu ya 5

Wapinzani wamelalamika wee, wanaharakati wa haki za binadamu wamepigia kelele wee na baadhi ya viongozi wa dini nao wamelalamika weeee........ Lakini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa kukomesha hali hiyo.

Tukaamza kuona mabandiko ya wanaccm kwenye mitandao ya kijamii, lakini Mara tu inapobainika na kuwekwa wazi kwenye jamii kuwa waliobandika mabandiko hayo ni wanaccm, watumiaji hao Mara moja wamekuwa wakikanusha kuwa siyo wao waliopost hizo taarifa na badala yake account zao zimekuwa hacked!

Refer taarifa za kukanusha za akina Ole Sendeka, Ridhiwan Kikwete na Shyrose Bhanji

Lakini hivi sasa wamejitokeza wanaccm "majasiri" na kueleza waziwazi msimamo wao kuwa hawakubaliani na mfumo wa kisiasa unaoendeshwa na utawala wa awamu ya 5

Wanaccm ambao wameonyesha kuupinga waziwazi mfumo huu serikali ya awamu ya 5 kwa kuwataja wachache tu ni Hussein Bashe na Nape Nnauye

Nimeanza kuyakumbuka maneno ya Mheshimiwa Tundu Lissu kuwa mtu huyu akishaumaliza upinzani atakuja kwenu CCM, kwa kuwa historia duniani kote ya "madikteta" duniani ndiyo "formula" yao ya kuanza na upinzani na hatimaye kumalizana na wale "wanaowashwawashwa" ndani ya chama chake!

Hatimaye watanzania wote bila kujali itikadi zetu za kisiasa tumeamua kuupinga utawala huu kwa nguvu zote.

Kwa kuwa tumeona ndiyo njia pekee iliyobaki kabla Taifa letu halijasambaratika na kuelekea shimoni.

Mungu ibariki Tanzania
Sio ataa kugeukana ukweli ni kwamba ukiangalia kwa akili timamu ni kwamba nchi haijulikani inakoelekea au inakopelekwa ni kama hakuna dira na mbaya zaidi inajulikana wazi kabisa niwapi haswa haya makando kando yatakapo tufikisha kama nchi sio kwema kabisa
 
Na ndiyo maana nimesema tukitaka tulinusuru Taifa letu lisitumbukie kwenye machafuko, inabidi watanzania bila kujali itikadi zetu za kisiasa tuungane na kukemea kwa nguzu zote utawala huu wa awamu ya 5 ambao unaelekea kutupeleka kwenye machafuko makubwa
 
Bahati nzuri umejitambulisha kuwa wewe ni mwanaccm, lakini hupendezewi na mfumo unaoendeshwa wa serikaki ya awamu ya 5 ya kuwatreat wapinzani kama wahaini ndani ya nchi yao!

Ni dhahiri kwa sasa wapo wengi wanaccm wenyewe hisia kama zako, Bali wamejawa hofu kielezea hisia zao

Ni vyema sasa kama kweli tunataka kulikomboa Taifa letu lisiingie kwenye machafuko, ni wajibu wa kila mtanzania bila kujali itikadi yake ya kisiasa, kukemea kwa nguvu zetu zote hii hali iliyojitokeza katika awamu hii ya 5 ya ukandamizaji wa hali ya juu wa demokrasia nchini kwetu
Mimi niamini ukizibana dhamira za wengi mwisho wake sio mwema. Kwa hiyo ni vizuri Watanzania wenye upendo na uchungu na Nchi hii watoe ushauri mbadala namna ya kuongoza watu na sio wanyama huyo Kiongozi haijalishi ana umri gani.
Mungu atupiganie ktk hili
 
"..mtu huyu akishaumaliza upinzani atakuja kwenu.."

kuna ambao hawajashtuka...na picha liendelee.
 
Back
Top Bottom