Je, wanaCCM wenzie wameshaanza kumgeuka?

Nyie maf.ala mnaangaika Sana mitandaoni.Naanza kuamini hamna kazi nyingine za kufanya, ila mkija kushtuka umri umewatupa mkono,serikali ni hii hii,CCM ni hii hii,katiba ni hii hiihii, tume ni hii hii na Raisi wa Jamhuri ni John Pombe Joseph Magufuli mpaka 2025.Haya mengine mnapoteza time tu.
Atapita tu iwe kamaliza muda wake au mungu ampende sana vyovyote atakuwa kafika mwisho wake
 
Sasa kuita watu mafala tukufahamu vp? hivi kama kweli atabaki mpaka siku hiyo je ana miadi na mungu any way sasa yanini kuzuia mikutano ya siasa na je hizi kodi zetu mnazo zifuja kwa chaguzi za kibabe za nini? ni wazi kwa tamko lako hili ccm mnatumia vyombo vya dola ili mbaki madarakani na si kwa wananchi.
 
Nyie maf.ala mnaangaika Sana mitandaoni.Naanza kuamini hamna kazi nyingine za kufanya, ila mkija kushtuka umri umewatupa mkono,serikali ni hii hii,CCM ni hii hii,katiba ni hii hiihii, tume ni hii hii na Raisi wa Jamhuri ni John Pombe Joseph Magufuli mpaka 2025.Haya mengine mnapoteza time tu.
Sasa kuita watu wapumbav tukufahamu vp? hivi kama kweli atabaki mpaka siku hiyo je ana miadi na mungu any way sasa yanini kuzuia mikutano ya siasa na je hizi kodi zetu mnazo zifuja kwa chaguzi za kibabe za nini? ni wazi kwa tamko lako hili ccm mnatumia vyombo vya dola ili mbaki madarakani na si wananchi.
 
Hilo ndilo swali la msingi ambalo sisi watanzania tunapaswa kujiuliza, kwa kuwa kumeanza kujitokeza wanaccm ambao wameanza kuukosoa waziwazi utawala huu wa serikali ya awamu ya 5 ambapo hapo kabla ilikuwa haiwezekani kufanyika kitu kama hicho na badala yake tuliwazoea wapinzani pekee wakipambana na hali hii ya kupigwa risasi mchana kweupe na watu "wasiojulikana" kutekwa kwa raia mbalimbli na baadaye kupatikana, matukio ya kuuawa wananchi wasio na hatia na matukio mengi ya aina hiyo yamekuwa ya kawaida sana kwenye utawala huu wa serikali ya awamu ya 5

Wapinzani wamelalamika wee, wanaharakati wa haki za binadamu wamepigia kelele wee na baadhi ya viongozi wa dini nao wamelalamika weeee........ Lakini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa kukomesha hali hiyo.

Tukaamza kuona mabandiko ya wanaccm kwenye mitandao ya kijamii, lakini Mara tu inapobainika na kuwekwa wazi kwenye jamii kuwa waliobandika mabandiko hayo ni wanaccm, watumiaji hao Mara moja wamekuwa wakikanusha kuwa siyo wao waliopost hizo taarifa na badala yake account zao zimekuwa hacked!

Refer taarifa za kukanusha za akina Ole Sendeka, Ridhiwan Kikwete na Shyrose Bhanji

Lakini hivi sasa wamejitokeza wanaccm "majasiri" na kueleza waziwazi msimamo wao kuwa hawakubaliani na mfumo wa kisiasa unaoendeshwa na utawala wa awamu ya 5

Wanaccm ambao wameonyesha kuupinga waziwazi mfumo huu serikali ya awamu ya 5 kwa kuwataja wachache tu ni Hussein Bashe na Nape Nnauye

Nimeanza kuyakumbuka maneno ya Mheshimiwa Tundu Lissu kuwa mtu huyu akishaumaliza upinzani atakuja kwenu CCM, kwa kuwa historia duniani kote ya "madikteta" duniani ndiyo "formula" yao ya kuanza na upinzani na hatimaye kumalizana na wale "wanaowashwawashwa" ndani ya chama chake!

Hatimaye watanzania wote bila kujali itikadi zetu za kisiasa tumeamua kuupinga utawala huu kwa nguvu zote.

Kwa kuwa tumeona ndiyo njia pekee iliyobaki kabla Taifa letu halijasambaratika na kuelekea shimoni.

Mungu ibariki Tanzania
na wewe Kwa akili zako unahangaika na hao vibwengo?
1.Aliefungia Bunge live hivi ni nani tena........ .....? Kisa hana uwaziri anajifanya kupiga domo? Akafie mbali huyo vuvuzela.
Na huyo msomali hua anapayuka payuka TU kutafuta kiki ili apewe uwazir hana jipya ni njaa znamsumbua
 
Nyie maf.ala mnaangaika Sana mitandaoni.Naanza kuamini hamna kazi nyingine za kufanya, ila mkija kushtuka umri umewatupa mkono,serikali ni hii hii,CCM ni hii hii,katiba ni hii hiihii, tume ni hii hii na Raisi wa Jamhuri ni John Pombe Joseph Magufuli mpaka 2025.Haya mengine mnapoteza time tu.
Ile betri kifuani ikiisha haji uchaguzi mbona Kesho tu!!
 
Atapita tu iwe kamaliza muda wake au mungu ampende sana vyovyote atakuwa kafika mwisho wake
Aisee..... Inaeelekea huu msa
Nimewaza na kuyakumbuka maneno ya TL, wakishamaliza kwetu wataamia kwao...
Ni kweli kabisa

Na hiyo ya kuhamia kwao, ndiyo utabiri wa Tundu Lissu ushaanza kutumia

Na ndiyo maana zishaanza kelele kutoka ndani ya CCM wakiupinga waziwazi utawala huu
 
Tundu alisema ukweli, ni kama maisha ya kambale ndani ya bwawa hufurahia maisha sana pale maji yanapo kuwa bado ni mengi ndani ya bwawa ,lakini kadri maji yanavyo pungua ndani ya hilo bwawa naye ndivyo anavyo zidi kujiingiza ndani ya tope, na pale tope likielekea kwisha kambale huanza kuji tafuna mwenyewe.

Hayo ndio maisha yanayo wakabili wana ccm waki wamaliza wapinzani kwa kuwapiga risasi na kueateka wata wageukia wao wenyewe, leo wana cheka na kufurahia lkn kesho watalia na kusaga meno, ila watakuwa wamechelewa.
 
Hilo ndilo swali la msingi ambalo sisi watanzania tunapaswa kujiuliza, kwa kuwa kumeanza kujitokeza wanaccm ambao wameanza kuukosoa waziwazi utawala huu wa serikali ya awamu ya 5 ambapo hapo kabla ilikuwa haiwezekani kufanyika kitu kama hicho na badala yake tuliwazoea wapinzani pekee wakipambana na hali hii ya kupigwa risasi mchana kweupe na watu "wasiojulikana" kutekwa kwa raia mbalimbli na baadaye kupatikana, matukio ya kuuawa wananchi wasio na hatia na matukio mengi ya aina hiyo yamekuwa ya kawaida sana kwenye utawala huu wa serikali ya awamu ya 5

Wapinzani wamelalamika wee, wanaharakati wa haki za binadamu wamepigia kelele wee na baadhi ya viongozi wa dini nao wamelalamika weeee........ Lakini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa kukomesha hali hiyo.

Tukaamza kuona mabandiko ya wanaccm kwenye mitandao ya kijamii, lakini Mara tu inapobainika na kuwekwa wazi kwenye jamii kuwa waliobandika mabandiko hayo ni wanaccm, watumiaji hao Mara moja wamekuwa wakikanusha kuwa siyo wao waliopost hizo taarifa na badala yake account zao zimekuwa hacked!

Refer taarifa za kukanusha za akina Ole Sendeka, Ridhiwan Kikwete na Shyrose Bhanji

Lakini hivi sasa wamejitokeza wanaccm "majasiri" na kueleza waziwazi msimamo wao kuwa hawakubaliani na mfumo wa kisiasa unaoendeshwa na utawala wa awamu ya 5

Wanaccm ambao wameonyesha kuupinga waziwazi mfumo huu serikali ya awamu ya 5 kwa kuwataja wachache tu ni Hussein Bashe na Nape Nnauye

Nimeanza kuyakumbuka maneno ya Mheshimiwa Tundu Lissu kuwa mtu huyu akishaumaliza upinzani atakuja kwenu CCM, kwa kuwa historia duniani kote ya "madikteta" duniani ndiyo "formula" yao ya kuanza na upinzani na hatimaye kumalizana na wale "wanaowashwawashwa" ndani ya chama chake!

Hatimaye watanzania wote bila kujali itikadi zetu za kisiasa tumeamua kuupinga utawala huu kwa nguvu zote.

Kwa kuwa tumeona ndiyo njia pekee iliyobaki kabla Taifa letu halijasambaratika na kuelekea shimoni.

Mungu ibariki Tanzania
.
tapatalk_1519379278372.jpeg
tapatalk_1519969548904.jpeg
 
Ninamkumbuka mzee kingunge alisema huyu alistahili kuwa mnyampala wa Barabara na si vinginevyo sasa yametimia
 
Nyie maf.ala mnaangaika Sana mitandaoni.Naanza kuamini hamna kazi nyingine za kufanya, ila mkija kushtuka umri umewatupa mkono,serikali ni hii hii,CCM ni hii hii,katiba ni hii hiihii, tume ni hii hii na Raisi wa Jamhuri ni John Pombe Joseph Magufuli mpaka 2025.Haya mengine mnapoteza time tu.
Na haya wala hayavumiliki yanamwisho, sidhani kama kweli uongozi wa jf hawaoni hiki kinachoendelea, kuhujumu mamlaka halali ya nchi ni uhaini.
 
Hilo ndilo swali la msingi ambalo sisi watanzania tunapaswa kujiuliza, kwa kuwa kumeanza kujitokeza wanaccm ambao wameanza kuukosoa waziwazi utawala huu wa serikali ya awamu ya 5 ambapo hapo kabla ilikuwa haiwezekani kufanyika kitu kama hicho na badala yake tuliwazoea wapinzani pekee wakipambana na hali hii ya kupigwa risasi mchana kweupe na watu "wasiojulikana" kutekwa kwa raia mbalimbli na baadaye kupatikana, matukio ya kuuawa wananchi wasio na hatia na matukio mengi ya aina hiyo yamekuwa ya kawaida sana kwenye utawala huu wa serikali ya awamu ya 5

Wapinzani wamelalamika wee, wanaharakati wa haki za binadamu wamepigia kelele wee na baadhi ya viongozi wa dini nao wamelalamika weeee........ Lakini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa kukomesha hali hiyo.

Tukaamza kuona mabandiko ya wanaccm kwenye mitandao ya kijamii, lakini Mara tu inapobainika na kuwekwa wazi kwenye jamii kuwa waliobandika mabandiko hayo ni wanaccm, watumiaji hao Mara moja wamekuwa wakikanusha kuwa siyo wao waliopost hizo taarifa na badala yake account zao zimekuwa hacked!

Refer taarifa za kukanusha za akina Ole Sendeka, Ridhiwan Kikwete na Shyrose Bhanji

Lakini hivi sasa wamejitokeza wanaccm "majasiri" na kueleza waziwazi msimamo wao kuwa hawakubaliani na mfumo wa kisiasa unaoendeshwa na utawala wa awamu ya 5

Wanaccm ambao wameonyesha kuupinga waziwazi mfumo huu serikali ya awamu ya 5 kwa kuwataja wachache tu ni Hussein Bashe na Nape Nnauye

Nimeanza kuyakumbuka maneno ya Mheshimiwa Tundu Lissu kuwa mtu huyu akishaumaliza upinzani atakuja kwenu CCM, kwa kuwa historia duniani kote ya "madikteta" duniani ndiyo "formula" yao ya kuanza na upinzani na hatimaye kumalizana na wale "wanaowashwawashwa" ndani ya chama chake!

Hatimaye watanzania wote bila kujali itikadi zetu za kisiasa tumeamua kuupinga utawala huu kwa nguvu zote.

Kwa kuwa tumeona ndiyo njia pekee iliyobaki kabla Taifa letu halijasambaratika na kuelekea shimoni.

Mungu ibariki Tanzania

Mkuu hakuna mwana ccm aliyemtaka huyu jibwana,wana ccm ni wale walokuwa dodoma kumpigia kura kumtafuta rais na waliiimba xana tuna imani na EDO,Jk akawa mwekundu.Hao ndo wenye CCM,na ndo wamewakilisha watanzania kutuchagulia rais.hawa hawakumtaka na kamwe hawatamtaka huyu alowekwa na mkapa,wana ccm 60/40 ni EDO/MEMBE huyu mwehu alipenya kwa ujinga wa Jk kutaka kufanya nchi iwe ya ukoo wa panya buku kama koo za ki chief.So wale jamaa 3000+ pale chimwaga ndo ccm,na hakuna ubishi hawakumtaka na kamwe hawatamtaka jibwana huyu.
 
Back
Top Bottom