Je wamkumbuka huyu dogo wa ITV

Huyu dogo kaoa mapema sana! Ila ni vizuri pia kuoa mapema, unalea watoto wako ukiwa bado na nguvu. Ila sasa tatizo ukiwa na mtoto at the age of 20, by the time unafika 38, yeye anakuwa na 18......Mnaanza kugongana gesti, yeye na videmu vyake, mzee mzima bado unamalizia maliza ujana na mishangazi ya Ilala....!!!! Dah! Bora kuchelewa tu!
 
huyu hapa chini ndo ana kesi ya kujibu huyu.............

Sasa mbona unaikandamizia? Wakati ushaona Charity siku hizi kawa mkali, asije kunimwagia maji ya moto usoni bure, nikashindwa kuuza nyago mjini!
 
Huyu dogo kaoa mapema sana! Ila ni vizuri pia kuoa mapema, unalea watoto wako ukiwa bado na nguvu. Ila sasa tatizo ukiwa na mtoto at the age of 20, by the time unafika 38, yeye anakuwa na 18......Mnaanza kugongana gesti, yeye na videmu vyake, mzee mzima bado unamalizia maliza ujana na mishangazi ya Ilala....!!!! Dah! Bora kuchelewa tu!
Masaki hiyo ndo concern yako jamani...................
 
Sasa mbona unaikandamizia? Wakati ushaona Charity siku hizi kawa mkali, asije kunimwagia maji ya moto usoni bure, nikashindwa kuuza nyago mjini!

na hakawii u- nullify acceptance ya ile apology hapo juu

eeh ngoja yaishie hapa hapa!!!!
 
Hongera dogo si shangai sana me kipindikile nikifundisha Computer Chuo fulani nikawa na wanafunzi wadogo kweli nimemkulia miaka 3 hivi ati kao duuh kwa huyu do si shangai kuo nae huku nami ndio ndo miaka 3
 
:peep:Mtoto kaoa mtoto mwenzake, kwa umri huu hata ndoa yenyewe itakuwa ya mashaka tu, chalii bado hajapevuka kivile mpaka aoe bana.
 
Dogo amewahi mno kukimbilia majukumu ya chumbani...I hope atakuwa na utulivu asije akageuka Maulid Kitenge ambaye sasa anataka kuongeza mke wa tatu.
 
Back
Top Bottom