Je wamkumbuka huyu dogo wa ITV

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
Eti amekua mpaka keshaoa sasa ama kwa hakika miaka inasonga kwa kasi ya ajabu japo maendeleo yanarudi nyuma kama sio kuganda.

Nimevutiwa na maharusi kwa jinsi walivyopendeza, Hongera Eddy Sultan
the couple.jpg
nabulime family.jpg
 
he huyu bwana mdogo sidhani kama kafikisha hata 22yrs mbona miaka ile kalikuwa kachalii sana ...hongera zake hata mie nimepigwa na mshangao
 
Kweli watu mnajua kuplagiaraizi,hivi hii arusi si ilishafanyika mwaka au miaka miwili ishapita? Si ilionyeshea kwenye arusi yangu.com? afu leo mnatumkumbushia mambo ya zamanii.Dah,kazi kwelikweli.
 
Kweli watu mnajua kuplagiaraizi,hivi hii arusi si ilishafanyika mwaka au miaka miwili ishapita? Si ilionyeshea kwenye arusi yangu.com? afu leo mnatumkumbushia mambo ya zamanii.Dah,kazi kwelikweli.

ah Kumbe ila mie sikuiona
 
Kweli watu mnajua kuplagiaraizi,hivi hii arusi si ilishafanyika mwaka au miaka miwili ishapita? Si ilionyeshea kwenye arusi yangu.com? afu leo mnatumkumbushia mambo ya zamanii.Dah,kazi kwelikweli.
dah we mpana Charity!!!
 
Nani kakuambia wanawake wanaisha? kila siku wanazaliwa wazuri zaidi... Na msubiria binti wa FL1,nimeshampa na posa kabisa anitunzie mke.

We shauri yako, endelea kusubiri tu. Wanaume wanajisevia wanawake mpaka watano, wasiishe kwanini?
 
hata mie nashangaa, bwamdogo kashaoa?! Wakati mimi bado............aaah haya bana..
 
Back
Top Bottom