othiambo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2014
- 2,012
- 2,821
It is very Wonderful.Muhammad Ali
It is very Wonderful.Muhammad Ali
Hivi wewe si kuna mada uliandika humjui baba yako? Sasa kama huyu kaanza wizi siku nyingi basi atakuwa alikuwa na pesa na muhongaji mzuri wa michepuko.Dah kumbe wizi alianza siku nyingi hivyo. Inasikitisha.
Dah kumbe wizi alianza siku nyingi hivyo. Inasikitisha.
HahaahhaTulia
hahahaahah ila ana chapa strategically sio rahisi kumkamata lakini baba wa taifa alikuwa anamjua sana ndio maana hakuwa na upako naye!Dah kumbe wizi alianza siku nyingi hivyo. Inasikitisha.