Je? wamfahamu Mtu huyu?

nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
11,711
11,971
Je? wamfahamu ntu huyu?
ntu nzima.PNG
 
oooooo sawa nimemkumbuka mtu huyo, nilimuona mwaka 1979 wakati wa vita vya Tz na Uganda alipewa pesa kwa ajili ya kufanya manunuzi ya mahitaji vya vyakula vya askari wetu vitani lakini akapiga panga hiyo pesa akaenda kwao kununua ng'ombe kitendo ambacho kilimuudhi sana baba wa Taifa, pia namkumbuka wakati tukiwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam tulivyokuwa kwenye chumba cha mtihani alishikwa na kibuti (yaani aliingia na kikumbushio) kwa sharia za chuo ilikuwa afukuzwe chuo lakini Nyerere kwa huruma yake na pia kwa kupenda kila kabila liwe na msomi na hasa ukizingatia miaka hiyo Nyerere alikuwa ndie mkuu wa Chuo Kikuu cha DSM alisema asamehewe na mwishowe alihitimu, pia namkumbuka mwaka 1995 yeye na JK walikesha kwenye disco halafu asubuhi ya siku hiyo wakapanda ndege kwenda Dodoma kwenye kikao alikuwa anawania ka nafasi Fulani hivi ka urais. waooooooooooooooooooooooo hivi yuko wapi huyu bwana yaani siku nyingi sana. ahsante mleta uzi kwa kunikumbusha huyu mtu
 
Dah kumbe wizi alianza siku nyingi hivyo. Inasikitisha.
 
Back
Top Bottom