Mantheman6
Senior Member
- May 30, 2020
- 165
- 140
DohWalinzi wa Rais ni walewale. Wanafundishwa TISS.na wengi wao ni mafisadi wa JWTZ.
DohWalinzi wa Rais ni walewale. Wanafundishwa TISS.na wengi wao ni mafisadi wa JWTZ.
Mnafungana kamba tuDaah! Kumbe bodyguard bonge nae amedead , nilikua siamini ila kwakuwa umethibitisha basi sina budi kuamini maana taarifa zako sinaga mashaka nazo
Hivi jina lake ni frank au wilfred?
Hivi hujawahi jua hao 'bodyguards' au "mabaunsa" ka usemavyo ni polisi special wa kazi ile na hata iwe rais hayuko tena, basi wale jamaa hupewa position zingine tofauti kila mmoja kwenye kitengo cha usalama kwa sababu bado ni askari na hawajafikia ku retire. Madame rais Samia anapewa team yake mpya ya ulinzi atakayokuwa nayo kipindi kile atakuwa ofisini. Na lazma yule askari jeshi anayesimama nyuma ya rais wakati wote, pahala popote, awe mwanamke sababu rais ni mke pia, hiyo ndio taratibu ya security ya rais nchi nyingi.Wale mabaunsa wakatafute kazi ya ulinzi kwenye makampuni ya ulinzi hasa wale wa chama. Samia atalindwa na wanawake wenzake. Madume ya nini hata akose raha? Ajifunze toka kwa Gadaffi kuwa wadada wanaweza. Kiutendaji na uadilifu ajifunze kwa Angela Merkel.
Kadogo wenge sana haka. Kanahitaji kupigwa makofi ili akili ikae sawa. Kana maneno machafu sana
Atarudi na blaaa blaa tu hapa, hawana mpya.. watu humu wanajiona kama deep state 😀😀😀
Yaani JF siku hizi imekuwa na fix fix nyingi sana, daah....!!!
Mbwembwe tu asingeweza ata kuiwasha bastola.Pamoja na ulinzi woooote, nilichokua namkubali Magu, na yeye alikua hakosi ka mguu ka kuku kiunoni, ili ikitokea hali imekua mbaya basi atajitetea mwenyewe, hiki nadhani ni kitu kigeni kwa marais wetu waliopita, sidhani kama ben wala kikwete kati yao kuna mtu alikua anatembea na mguu wa kuku.
Mara nyinga siku akibeba mguu wa kuku alikua anavaa koti halafu halifungi vifungo
Mpuuzi mama yako na baba ako na uko wenu wote,Bado unayahitaji tena Wewe Mpuuzi au?
Kanataka kubishana na baba zake wakambo 😁!.Kadogo wenge sana haka. Kanahitaji kupigwa makofi ili akili ikae sawa. Kana maneno machafu sana
Mpuuzi mama yako na baba ako na uko wenu wote,
Kanataka kubishana na baba zake wakambo 😁!.
Unawafunga kamba wenzioWalinzi wa rais ni askari wa JWTZ kwa hiyo wataendelea na kazi zao
alimsaidia kitu gani tupeni nasisi hizo dataAliemsaidia sio huyo, ni yule anaemletea maji mara kwa mara akiwa jukwaani, usipike data
Mbwaa@a kabisa wewe , uwe na adabu kwa baba zako.Niongezee lingine / mengine tafadhali.
Mbwaa@a kabisa wewe , uwe na adabu kwa baba zako.
😂😂😂😂😂😂😂🤣!Mbwaaa kabisa wewe , uwe na adabu kwa baba zako.
Mzee Mkanzabi ndiye mwenye wanae Oliva Mkanzabi , ambaye ni wakili ?Kiitifaki wanatakiwa wafanye hivyo Kwake kwakuwa ndiyo walikuwa assigned Kwake kama Walinzi. Hata katika Msiba wa Hayati Nyerere Walinzi wake akina Mzee Mkanzabi, Tendewa, Marehemu Mzee Simon Mohammed na Wengineo Wanne walifanya hivyo Kwake.
Baada tu ya Maziko ( Mazishi ) na Wao watapangiwa Majukumu mengine ya Kiidara hapo Makao au Mikoani au hata Nje kuwa attached katika Missions ( Balozi ) kwa Kazi Maaalum chini ya Mabalozi watakaowakuta huko.