Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Huyu ndiye niliyekuwa namjibu yule bwana aliyesema walinzi wa Rais. Nami nikamwambia hapo hakuna mlinzi.
Umechenganya picha kwene ile picha uliyomjibu jamaa...ni mpambe wa raisi na presidential unit commander(puc) na sio PA umechanganga pic mkuu
 
Yule jamaa mrefu mweusi ambaye movement zake ni smart sana wala hana mbwembwe kama bonge ni huyu mwenye miwani hapo karibu na mwanajeshi afu hiyo picha nyingine yupo na Magu kanisani.

Sijui kwanini, mara nyingi Magu akiwa kanisani jamaa yeye ndio huwa anakaa karibu zaidi na Magu, inawezekana anajua sana biblia, hivyo inakuwa rahisi kumukumbusha Magu vifungu mbali mbali wakati ibada ikiendelea.
View attachment 1729515
Pamoja na ulinzi woooote, nilichokua namkubali Magu, na yeye alikua hakosi ka mguu ka kuku kiunoni, ili ikitokea hali imekua mbaya basi atajitetea mwenyewe, hiki nadhani ni kitu kigeni kwa marais wetu waliopita, sidhani kama ben wala kikwete kati yao kuna mtu alikua anatembea na mguu wa kuku.

Mara nyinga siku akibeba mguu wa kuku alikua anavaa koti halafu halifungi vifungo
 
Wamepoteza nn unadhani ile kazi ni rahisi, ile kazi inachukua muda wako mwingi, starehe utaisikia na hata muda na familia yako utaukosa ndo maana raisi anapostafu au kutoka nao inabidi wapumzishwe..
vipi mshahara wao mkuu?scale zinasoma.mpaka 7m au
 
Ana sifa zifuatazo:

1. Kunusa Hatari ( Machale )
2. Kujua Chakula chenye Sumu
3. Shabaha kwa umbali wowote
4. Karate Bruce Lee anasubiri
5. Ngumi za Kukudedisha kwa upesi
6. Ameiva kwa Pumzi na Mazoezi
7. Kama Chatu akishiba lazima atasinzia

Kazi kweli kweli ila ana Maadili na Msiri.
Na miili mikubwa vile karate zimo?
 

Acha Uwongo duniani kote huwa hakuna Mwanamke Commando na hii ni kutokana na Maumbile yao na Mfumo wao Kibaiolojia. Isipokuwa huwa wanapewa tu Matunzo ya Kiwango fulani cha Ukakamavu. Ukomando ni Habari nyingine. Mtafute Mwanajeshi yoyote au Mbobezi yoyote wa Masuala ya Kimedani ( Kijeshi ) akuambie.
1616595117423.png
 
Acheni ujinga nyie vijana wa sasa.
Kumbe mnamiliki simu ila vichwani mko zero zero!

Kwa taarifa yenu hao ni wajiriwa serikalini na jeshini halafu ni watu wa rank za juu sio makabwela.

Isitoshe kuna wengine wataendelea kuishi chato kwa marehemu mpaka ukomo wa ajira zao yaani kustaafu.

Mishahara na allowance zao tu ni mtaji tosha.

Mleta hoja utakuwa umetokea kwenye hiki kijumba
View attachment 1731802

You are such a Wasted Sperm on Earth.
 
Unavyochapwa Wewe 24/7 na Basha wako ndiyo unadhani ni Wote Ndugu. Mara nyingi sana tu huwa Unawashwawashwa na Mimi hapa JF. Kuwa makini usije Kunilaumu tu sawa?
Anzisha forum yako na uchague aina ya watu wa kujinga otherwise pole sana, shusha matusi tani yako.

Kumbuka kumuuliza your mom kuhusu mimi (through my name) atakupa taarifa zote kisha njoo kwa hishima hapa.
 
Hao walio na akili timamu hupelekwa Training kufundishwa na hao unao ona hawana akili timamu. Hao TISS wako wengi wakipelekwa officer cadet tu, kuna wengine lazima walale mbele, achilia mbali ukomandoo.. acha kabisa kuchukulia Poa JWTZ na vitengo vyake. Imejitosheleza ile
Umri umeshawatupa mkono kwenda officer cadet.ila vijana hawajui kuwa jwtz ndio kila kitu.
 
Back
Top Bottom