Mnyenz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 1,456
- 4,435
Pamoja na ulinzi woooote, nilichokua namkubali Magu, na yeye alikua hakosi ka mguu ka kuku kiunoni, ili ikitokea hali imekua mbaya basi atajitetea mwenyewe, hiki nadhani ni kitu kigeni kwa marais wetu waliopita, sidhani kama ben wala kikwete kati yao kuna mtu alikua anatembea na mguu wa kuku.Yule jamaa mrefu mweusi ambaye movement zake ni smart sana wala hana mbwembwe kama bonge ni huyu mwenye miwani hapo karibu na mwanajeshi afu hiyo picha nyingine yupo na Magu kanisani.
Sijui kwanini, mara nyingi Magu akiwa kanisani jamaa yeye ndio huwa anakaa karibu zaidi na Magu, inawezekana anajua sana biblia, hivyo inakuwa rahisi kumukumbusha Magu vifungu mbali mbali wakati ibada ikiendelea.
View attachment 1729515
Mara nyinga siku akibeba mguu wa kuku alikua anavaa koti halafu halifungi vifungo