Je, wajua?

  1. Je, wanaume mwajua kuwa waweza kumtunza mkeo kwa kumpatia vitu kama gari zuri, nyumba nzuri, bank account iliyonona, uhuru wa kutosha, nafasi ya kushiriki kwenye maamuzi, mapenzi yote atakayo na kwa kiwango anachotaka, saloon, mavazi apendayo, simu nzuri, computers, kumsomesha, kumtafutia kazi nzuri, n.k, lakini huenda akadanganyika kwa vocha ya Tshs. 1,000 au lift?
  2. Je, wanawake mwajua kuwa mmeo anaweza kuwa na Tshs. 200,000 mfukoni, na akabania Tshs. 20,000 za kukupeleka wewe/mama yake mzazi hospitali, lakini akajikuta ametumia Tshs.100,000 kati ya hizo kumbembeleza kimada na bado akaambulia patupu?

Pole sana...'msimulia mvua imemnyea!'

 
Du! Hii kali sana lakini ina ukweli. By the way, hodi humu ndani, mi ni mgeni japo sio kivile sana nimefaitilia jf kwa muda mrefu, nimeipenda na sasa nimo ndani ya nyumba. Jf ni zaidi ya shule!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom