pottasium
Member
- Aug 30, 2013
- 91
- 5
JE WAJUA? Wadau wa jukwaa hl samahanini kwa usumbufu ila nilikuwa napenda kuuliza kama kuna yeyeto anayefaham program yoyote au jins ya kukopiy DVD za collection kwenye compyuta mana zingine zinakataa zinakuwa na code number nataka nijue jins ya kuzbreak hzo code.