Je, WAJUA....!!!????

Je, WAJUA....!!!????

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,130
JE WAJUA? Kiatu chako kinaweza kukuambia umri wako:-
1: Andika namba ya kiatu chako.
2: Zidisha kwa5.
3: Jumlisha 50
4: Zidisha kwa 20
5: Jumlisha 1013
6: Toa mwaka uliozaliwa...
7: Namba mbili za mwanzo ni saizi ya kiatu na namba mbili za mwisho ni miaka yako.
 
Waaa ni kweli au ndo jokes side

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
JE WAJUA? Kiatu chako kinaweza kukuambia umri wako:-
1: Andika namba ya kiatu chako.
2: Zidisha kwa5.
3: Jumlisha 50
4: Zidisha kwa 20
5: Jumlisha 1013
6: Toa mwaka uliozaliwa...
7: Namba mbili za mwanzo ni saizi ya kiatu na namba mbili za mwisho ni miaka yako.

Duh. we ni noma
Ni kweli bhana.
Nimejaribu nimekuta hivyo hivyo
 
Waliokimbia hesabu hapa lazima wapite
Tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe
 
JE WAJUA? Kiatu chako kinaweza kukuambia umri wako:-
1: Andika namba ya kiatu chako.
2: Zidisha kwa5.
3: Jumlisha 50
4: Zidisha kwa 20
5: Jumlisha 1013
6: Toa mwaka uliozaliwa...
7: Namba mbili za mwanzo ni saizi ya kiatu na namba mbili za mwisho ni miaka yako.

We janja sana..... Lkn nshajua maujanja yako
 
mmmmhhhh so funny umecha na kitu kidogo.
haaaaaa haaaa big up but stop fooling.
 
Proved!! We mkaree

JE WAJUA? Kiatu chako kinaweza kukuambia umri wako:-
1: Andika namba ya kiatu chako.
2: Zidisha kwa5.
3: Jumlisha 50
4: Zidisha kwa 20
5: Jumlisha 1013
6: Toa mwaka uliozaliwa...
7: Namba mbili za mwanzo ni saizi ya kiatu na namba mbili za mwisho ni miaka yako.
 
kuwa muwazi bac mkuu tuambie source ya hizo calculations iyo 5,50,20,1013 zinatoka wapi???? Ili tuwe na uhakika zaidi na kitu
 
Chukua 4m kaka ujaze kasomee ualimu tena hesabu,mana nime hakiksha kweli ila chondechonde hii njia hcjekuwa ndo tumeshajisajili free mason.
 
Back
Top Bottom