1) Unaweza kutoa gesi yenye uwezo wa kutengeneza bomu la nyuklia kwa KUJAMBA mfululizo kwa miaka 6 na miezi 9
2) Hakuna Pundamilia anayefanana mistari na wenzake?
3) DREAMT ndiyo neno pekee katika lugha ya Kiingera linaloishia na herufi MT....
4) Macho yako hayakui tangu uzalie ila Pua na Masikio hukua milele?
5)............
6)............
Endelea tafadhali
Ningezaliwa na jicho hili nilonalo sasa, mbona ningetisha?!
And I didn't
Na mara zote mkojo ndiyo huwa unatangulia, cjui kwanini!Kunya na kukojoa haviendi sambamba. lazima kimoja kimtangulie mwenzake
..Mh! hata ukiwa unaharisha?Na mara zote mkojo ndiyo huwa unatangulia, cjui kwanini!
Marekani ni kubwa kwa km za mraba mara 10 ya tanzania,mnyama mrefu ni twiga na nyoka aina ya anaconda.Kwa maana ya urefu wa kwenda juu ni twiga na urefu wa mlalo(horizontal) ni anaconda,maji ya mto nile yanayokatiza ziwa victoria kamwe huwa hayachanganyiki,

... hivi unaweza kufikia kileleni ukiwa macho wazi?
... hivi unaweza kufikia kileleni ukiwa macho wazi?