Je wajua?

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
32,192
Reaction score
79,631
Kampuni YouTube iliondoa trending video kwenye app Yao sasa trending utaipata kwenye app Yao nyingine inayoitwa YouTube music ambayo imeunganishwa na YouTube yenyewe ukiingia kwenye app Yao utaikuta kama hivi




Ukiingia kwenye app utaikuta kama hivi sasa Kuna top charts na top artists yaani Kuna maboresho wameyafanya na Kuna global charts pia sasa pale juu ndio utakuta trending ya nyimbo za kwa wasanii wote wa tanzania mfano sasa hivi nyimbo inayo trend namba Moja ni dunia ya marioo


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…