Je Wajua?

Je Wajua?

laskaboza

Senior Member
Joined
Jun 8, 2020
Posts
144
Reaction score
1,601
Habari za jioni wazee wenzangu,

Kwa wale wakongwe kwenye mahusiano, umeshawahi kugundua kuwa siku mkeo akiangalia tamthilia (hasa kabla ya kulala), halafu ikatokea amevutiwa sana na actor wa hiyo film, huwa anakua mzito sana kutimiza wajibu wake baadae?

Kama hujagundua hilo bado, jaribu kuchunguza utanipa mrejesho!
 
Habari za jioni wazee wenzangu na vijana,

Kwa wale wakongwe kwenye mahusiano, umeshawahi kugundua kuwa siku mkeo/mpenzi akiwa anaangalia au ameangalia movie au tamthilia, halafu akawa amemuelewa character fulani humo ndani (wa kiume), huwa ni ngumu sana baadae (ya hiyo siku) kukupa haki yako?

Kama hujagundua hilo mpaka sasahivi, jaribu kuchunguza utanipa mrejesho.
Ngoja nimfosi wangu maana hana mzuka kabisa na mambo ya tamthiliya,halafu ntaleta mrejesho...
 
Uwe unasoma vizuri kwanza na kuelewa. Maana umekazana kubishana kitu ambacho hujakielewa bado!
usituletee utafiti uliokaa kiupinde wa mvua hapa.. hasira zako za kunyimwa unyumba usizifanye kuwa umebobea kwenye research.

uliokuja mbiombio ukitegemea wote tutasupport upumbavu wako humu. Hakuna unachokijua, kama umeanzisha Uzi Ili upate likes sawa lakini hakuna mantiki yoyote sababu ya sample moja tu ya mkeo.

Sidhani hata kama una demu wewe.. maana research inajionyesha kabisa ni hadithi za kijiweni.

Kama wewe ni timamu kweli jibu haha maswali; umetumia sampling method ipi? Sample zilikuwa ngapi? Umri wao? Eneo? Hypothesis uliyoformulate ilikuwaje? Hitimisho? Viko wapi vyanzo vilivyokupa mwanga kwenye research yako? Viweke hapa.

Reply yako hapa kama sio majibu ya nilichouliza ndio itanifanya nijue kichwani una akili au mavi tu.

Ili thread yako imake sense badili title. Ikiwa hivyo inakuwa kama vile jambo la uhakika unatujuza na tulikuwa hatujui
 
usituletee utafiti uliokaa kiupinde wa mvua hapa.. hasira zako za kunyimwa unyumba usizifanye kuwa umebobea kwenye research.

uliokuja mbiombio ukitegemea wote tutasupport upumbavu wako humu. Hakuna unachokijua, kama umeanzisha Uzi Ili upate likes sawa lakini hakuna mantiki yoyote sababu ya sample moja tu ya mkeo.

Mbona kama umepanic? Kwanini unatukana? Kama hii thread hai.make sense kwako unaweza ku move on tu. Ni findings zangu nimezi.share na wadau, kama kwako sio kweli una downvote then una move on.

Halafu tuliza mawenge dogo, ndio maana unaparamia mademu wanaojiuza telegram halafu unakuja kulialia huku ulitaka kuoa, bata wahed!
Nani dogo? Ili uniite dogo nikubali labda unipe kibox manyoya
 
Tatizo wanaume tupo obsessed sana na sex yaani mimi katika vitu ambavyo sibembelezi kwa demu ni utelezi akizingua kila mtu anachukua hamsini zake wanawake mbona wapo wengi wazee mwisho demu anakuona fala
 
Nailed it
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom