Je wajua

hapo kwenye kulipwa million 50 kwa kila neno, si ilibidi anord aongeze maneno ambayo hayapo kwenye script ili mpunga uwe mrefu. Ila wabongo kwa kufungana kamba tu hatujambo.
 
Hiyo ya mwisho kama ni kweli Hongera kwao hao Wahindi.

Pia niwape pongezi sababu lile somo la Uvumilivu itakuwa kwao Me kwa Ke wanaliweza kwa 100% sababu hilo ndio huwa linawashinda wengi
 
Kuangalia kiwango chao kwenye mechi za away [emoji23]
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Aiseeee.

Inatakiwa wajue wanawavuruga wadada wa watu kwani wenzao wanajua fursa ya kuwa na ndoa zao imepatikana kumbe wao wanaangalia Viwango πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ila umejua kunichekeshaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
[emoji1787][emoji1787]
Huyu jamaa alikua anaangalia kiwango akajikuta anapigwa limbwata,akarudi kwa wife kuomba.msaada
 
Kupima uzito na thamani ya kupendwa na kuhudumiwa najua umeshaolewa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…