JE WAJUA?

Dec 23, 2016
31
69
JE WAJUA?

Kumtumia binti Jumbe mara nyingi (mf. SMS) ukimlazimisha kua na wewe kimahusiano, au kusababisha maudhi ya hisia ni kosa kisheria.

Sheria ya makosa ya mtandao, 2015 kifungu no. 23 kinakataza jambo hili na mtu akipatikana na hatia atawajibika kulipa faini isiopungua shilingi milioni tano au kutumikia kifungo kwa kipindi kisichopungua miaka mitatu au vyote kwa pamoja.

Mfaume Hassan Hamadi.
 
Jiwe hajaijua hii, siku akiijua ataipinga vikali
 
Back
Top Bottom