NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,032
- 4,028
Je wajua
1.Sehemu za siri za mwanamke kwa ndani kuna bacteria maalum kulinda hizo sehemu ajabu dada zetu wanatumia dettol na Sabuni kujisafisha na ndio chanzo cha cancer
2.Dunia toka imeguke kutoka kwenye jua ule mwanga uliotokea mpaka leo unasafiri haujamaliza ulimwengu "universe''
3.Ukikosa usingizi siku saba unakufa.
4.Ulimi wa kinyonga ni mrefu kuliko mwili wake.
5.Kushinda njaa ni hatari kwa afya yako lakini kufunga kuna faida kiafya.
6.Wanasiasa duniani ni mafundi wa kuahidi kufanya jambo wakati wa kuomba kura.Hapo hapo ni mafundi wazuri kuelezea kwanini halikufanyika uchaguzi mwingine ukifika.
7.Tanzania ni nchi pekee Africa ambayo haina ukabila na watu wake hawaulizani makabila yao kwenye shughuli zao ila ni vijembe tu vya matani wanapigana hasa kwenye ulingo wa kisiasa.
Sent using Jamii Forums mobile app