Je wajua! Nchini Kazakhstan kuna kijiji kinaitwa kalachi, kilikubwa na ugonjwa wa ajabu wa kulala, watu walikuwa wanalala takribani siku tatu na wakiamka wanapoteza kumbukumbu.
 
Write your reply...Huko Cambodia kuku,bata,pera na viroboto baada ya vipimo maabara ya taifa vilibainika kuwa na virusi vya Ukimwi yaani HIV
 
Huko texas mwanaume mmoja alibakwa na kundi la wanawake kipindi akiwa anafanya mazoezi ya kukimbia! Baada ya wiki moja wanaume karibia 100 nao wakaanza kufanya mazoezi ya kukimbia eneo lile lile
😀😀😀🙆
 
Je wajua! Nchini Kazakhstan kuna kijiji kinaitwa kalachi, kilikubwa na ugonjwa wa ajabu wa kulala, watu walikuwa wanalala takribani siku tatu na wakiamka wanapoteza kumbukumbu.
Unaweza kunisaidia link nzuri yenye hii habari kwa undani? Inavutia.
 
Huko texas mwanaume mmoja alibakwa na kundi la wanawake kipindi akiwa anafanya mazoezi ya kukimbia! Baada ya wiki moja wanaume karibia 100 nao wakaanza kufanya mazoezi ya kukimbia eneo lile lile
Nashikilia hapa kwanza 😂😂
Hao jamaa 100 walikuwa hawajui usemi usemao bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi..
Sasa hizo ndo kenge😂😅
 
Kwetu sisi wanaume kubakwa na mwanamke ni bahati ndio ila nyinyi tu ndio huwa mnaviherehere ukibakwa unaenda polisi!!
We hao mia kama sio bahati unafikiri wamefata nini baada ya hiyo taarifa..?

Hujui Simba huwinda kwenye mawindo 😜😅
Kenzy🙆hiyo bahati umewahi ipata
 
Back
Top Bottom