Je, wajua mshahara wa "Flight Attendant" wa Emirates?

Ni kweli. Kuna dadangu anafanya Qatar Airways. Ila yeye alisomea Uholanzi kwahiyo ikawa rahisi kupata kazi. Mimi mwenyewe alitaka kuniunganisha na jamaa wa KLM lakini nikachomoa. Ukiingia kila rubani anataka uwe mpenzi wake. Looh marubani mabazazi sijapata kuona
 
sasa si unakataa hao marubani kama dada yako alivyowakataa?
 
tatizo sio kusoma au nini.. kupata kazi qatar, emirates au klm sio shughuli ndogo...

watanzania tunaishia fast jet tu, na precision au auric.. kazi zetu za laki mbili kwa mwezi..

fursa nyingi za ndege za kimataifa ni ngumu kupata na mnaoshindania kupata nafasi moja tu ni wengi karibu dunia nzima wote mnaitaka hiyo.. so probability kupata ni ndogo sana...

unajua tpdc dereva tu analipwa milion 5 ya kitanzania kwa scale yao..

sasa hapo jaribu kutafuta udereva huo huone shughuli yake....

hata tanzanja yapo makampuni yanalipa vizuri sana ila kupata kazi sio shughuli ndogo...

mfano oil and gas giants kama petrobrass, exxon mobil, hulliburton wote wana branch tanzania hawa.. ila unakuta staff wote wapo 50 tu... sasa upate chance ya kuwemo katika hao 50 sio shughuli ndogo....ni ushindani mkubwa sana ndio maana tunaishia kwenye kazi za wote za laki mbili
MH!!!!!Umzaniae ndie kumbe sie hayo ni mawazo ya nje tu ndugu uhondo wa ngoma ingia ucheze.
 
Ni kweli. Kuna dadangu anafanya Qatar Airways. Ila yeye alisomea Uholanzi kwahiyo ikawa rahisi kupata kazi. Mimi mwenyewe alitaka kuniunganisha na jamaa wa KLM lakini nikachomoa. Ukiingia kila rubani anataka uwe mpenzi wake. Looh marubani mabazazi sijapata kuona
Nafikiri ni kwavile wanakaa muda mwingi bila kuwa na wake zao majumbani,ni kama vile kwa baadhi ya ma trucks drivers tu,Si ajabu na wadada nao pia ni vice versa kama mapilot tu kutaka wakaka kua wapenzi wao.
 
Ni kweli. Kuna dadangu anafanya Qatar Airways. Ila yeye alisomea Uholanzi kwahiyo ikawa rahisi kupata kazi. Mimi mwenyewe alitaka kuniunganisha na jamaa wa KLM lakini nikachomoa. Ukiingia kila rubani anataka uwe mpenzi wake. Looh marubani mabazazi sijapata kuona
Kwa Hiyo Dada yako ni Mpenzi wa Marubani wote ""Shocking Story""
 
Ni kweli. Kuna dadangu anafanya Qatar Airways. Ila yeye alisomea Uholanzi kwahiyo ikawa rahisi kupata kazi. Mimi mwenyewe alitaka kuniunganisha na jamaa wa KLM lakini nikachomoa. Ukiingia kila rubani anataka uwe mpenzi wake. Looh marubani mabazazi sijapata kuona

Kweli akili yako ina walakini!!! Nani kakwambia ruban angekutongoza???? Unadhan kila rubani anawatamani???
 
w
It's around 3000 USD (± 300 to 500 USD).

It's divided into 3 parts

  1. Basic salary: A fixed amount u earn irrespectiv Of the whether You are on an active duty or not (so if you are going on 15 days mandatory vacation you'll still get atleast that much amount. It's around 1150 USD for beginners.
  2. Flying hours: a fixed amount depending on ur grade for flying per hour. So let's suppose u fly 100 hrs in a month and this per flying hour pay is 50 dirhams then u get 5000 dirhams (1373 USD) added to ur basic. 1USD = 3.65 dirhams.
  3. Layover allowance: Depending on the destinations you stay for a night or so you get an allowance from the company for ur 3 meals a day and it can differ quite much depending on ur roster! European destinations pay good, US is ok, Indian sectors is the least paying. So it can add another 500 USD to 1500 USD to ur paycheck.

Source: Quora.
whatever the mind can dream,is possible to be attained,sky is no longer a limit. think big think rich.
 
Harafu Mkurugenzi wa Tanesco; Tanapa etc; unamlipa 15,000,000Tzs sawa na $6,800 na watu wanapiga makofi..... huwezi endeleza nchi kwa kuwabana washika uchumi na wakuu wa makampuni/ taasisi zetu... Nyerere alijaribu hili alipo sema kwenye azimio la Arusha mshahara wa juu na kima cha chini vipishane kwa 45%
wote mnajua nini kilikumba mashirika yetu na
taasisi zetu.... kama mhudumu wa ndege analipwa karibu na mkuu wa taasisi wa mashirika yetu je pilot analipwa kiasi gani na je mkuu wa Qatar/ Emirates analipwa kiasi gani. ... na je
kwenye juhudi za kufufua ATC, Mkurugeniz wa
ATC mtamlipa sawa na cabin crew wa Emirates / qatar na mwende kwenye destination 1 na mtegemee tuweze shindana kweli????
 
ATCL watakuwa wanalipa zaidi ndiyo maana wanafilisika mara kwa mara

Mkuu umekosea ni kwamba ATCL in wahudumu wengi sana (220) kwa ndege moja. Wako mpaka wenye umri wa miaka 60

17.jpg
 
Harafu Mkurugenzi wa Tanesco; Tanapa etc; unamlipa 15,000,000Tzs sawa na $6,800 na watu wanapiga makofi..... huwezi endeleza nchi kwa kuwabana washika uchumi na wakuu wa makampuni/ taasisi zetu... Nyerere alijaribu hili alipo sema kwenye azimio la Arusha mshahara wa juu na kima cha chini vipishane kwa 45%
wote mnajua nini kilikumba mashirika yetu na
taasisi zetu.... kama mhudumu wa ndege analipwa karibu na mkuu wa taasisi wa mashirika yetu je pilot analipwa kiasi gani na je mkuu wa Qatar/ Emirates analipwa kiasi gani. ... na je
kwenye juhudi za kufufua ATC, Mkurugeniz wa
ATC mtamlipa sawa na cabin crew wa Emirates / qatar na mwende kwenye destination 1 na mtegemee tuweze shindana kweli????
Unataka tulazimishe viwango vya mishahara ya UAE ifanane na huku watoto wanakosomea chini ya mti?
 
Back
Top Bottom