Je, wajua mshahara wa "Flight Attendant" wa Emirates?

Je, wajua mshahara wa "Flight Attendant" wa Emirates?

Aise Unalea watoto vibaya sana, Yani Unalea watoto kwenye mazingira ya kudharau kazi za watu, kuna jinsi ya kumshawishi mtoto apende kilicho bora bila kuonyesha dharau kwa jamii ya wengine, hata hao bar maid wanastahili heshima yao, japo kuna hali inayosababisha wakafanya mambo hayo ambayo wanafanya kufikia kushushwa hadhi, HAYO SIO MALEZI....NA KUPATA KAZI ILE SIO RAHISI KAMA UNAVYODHANI JAPO UNAIDHARAU, NA ILE KAZI INA MSHAHARA MZURI KULIKO HATA WA HUYO MTOTO WAKE AMBAE BAADAE ATAKUJA KUWA DR. TZA NA KULIPWA 2M AMEKAA DARASANI 7YRS NA MSHAHARA WAKE UNAWEZA UKAJALINGA NA HUYO UNAEMUITA BAR MAID...
An Airhostess is just a mere barmaid....sio kazi ambayo mimi ninatamani kijana wangu aje kuifanya,na moja ya njia ya kumfanya isiwe kazi anayotamani ni kumpa ukweli wa kazi yenyewe,ili asidhani kuwa angani na kuhudumia watu katika ndege ni kazi "exceptional" sanaaa.

Huwezi kutafsiri mode ya malezi yangu kwa meseji ya mistari 10+ hapa JF,nilikaa na yule dada zaidi ya masaa 4 juu,alinifundisha mengi juu ya kazi ya Cabin Crew na madhila yake,kuna mdau humu amegusia jinsi hawa wadada wanavyoenda kwenye destinations tofauti wakiwa na marubani tu na kuishia kuwa "kitoweo".Jambo hilo sijaanza kulisema mimi,Frequent Flyers wote humuweka "Airhostess" katika kundi hilo.

Hata yeye alinambia ana malengo ya kufanya kazi hiyo kwa miaka 5 then aingie kwenye biashara zake,anahisi ni kazi isiyompa heshima na haimpi nafasi ya kuijenga familia na kuwaweka sawa watoto wake.Naona umechukulia juujuu hii story,nilimweleza mwanangu kwa kirefu sana,nimesema tu hayo maneno ya bar-maid sababu ndio yaliibuwa mjadala kati yangu na dada

Alinitumia mimi kupata kiwanja Kange-Tanga kati ya vile viwanja vilivyotangazwa na Jiji la Tanga,amejenga Kange na Insha'Allah ana mpango wa kuja kuishi Tanga akifanya biashara zake.Aliniambia hicho nilichoongea ndicho kinachowakumba kama changamoto katika kazi yao.Anatumia nafasi ya kuwa attendant wa Fly Dubai kusafirisha mizigo yake bure toka Dubai na kuleta Tz kwa ajili ya biashara zake.
 
hicho alichokufanyia ndicho walicho mtrain kufanya, ila angekupa maneno yako kisawasawa, na nina uhakika amekuchukia kutoka moyoni, siusemei moyo ila ni hivyo tu.
Ni kweli unausemea moyo wake,hilo ni kosa kubwa ulilofanya
Ni rafiki wa kweli,na ule ukawa mwanzo wa urafiki wetu..katika story zetu akagusia kusikia Jiji la Tanga linauza viwanja eneo la Kange,angependa kuishi Tanga iwe karibu kwake na Mombasa na Pemba
Alinitumia kununua na sasa amejenga mjengo mzuri tu.Kauli yangu iliniunganisha nae maana haikuwa na Unafiki
 
Nyie ndio mnaodhani kuwa mtu akiwa mweupe hajui kiswahili.
Isitoshe unapomsema mtu ukidhani ni mjinga kwa kutoijua lugha yako, wewe ndio mjinga wala sio yeye kama uavyojidanganya.
Hii ni kwa mtazamo wako.Hakuna mahali niliposema nilimuona mjinga.Wakati wewe hapa JF unaonekana "kukasirika" kwa hiyo kauli yangu,yule dada ni moja kati ya marafiki wangu wakubwa wa familia yangu.Umetafsiri tofauti sababu umeona hii kauli ikiwa kwenye "fasihi Andishi",laiti ungeisikia katika "Fasihi Simulizi" ungeona "tone" yangu na "facial expression",hivyo usingahamaki zaidi ya kunipa ushirikiano wa kauli yangu
 
Hapana mpendwa wangu
Ahsante Rubii wangu,yaani nimesuuzika kwa kunijibu,na hivi sasa uko single ndio nazidi kusuuzika roho,na mimi nitakusahaulisha yale maumivu uliotushirikisha au siyo?,sasa ujue nimeleta request wa kwanza na ujiandae na ile kitu roho inataka yaani lovey dovey .
 
Mmmmmh kumbe jamii forum ni kama Facebook mm n mtoto naogopa habari za kimapenz nifundishini jins ya kujiondoa jamii forum ili nijiondoe
 
Teh! kweli mpendwa?
 
Mmmmmh kumbe jamii forum ni kama Facebook mm n mtoto naogopa habari za kimapenz nifundishini jins ya kujiondoa jamii forum ili nijiondoe

Aliyekufundisha jinsi ya kujileta akakufundishe na kujiondoa!
 
Teh! kweli mpendwa?
Serious sitanii na sasa hivi nimeacha mambo ya kihuni au ya kijinga ya kukashifu watu humu jukwaani,nimerudia ustaarabu wangu wa zamani,basi jua nasema kweli pia nakukaribisha PM kama utapenda tufahamiane zaidi.
 
Asante mkuu nitumie nauli nikuje
 
Mmmmmh kumbe jamii forum ni kama Facebook mm n mtoto naogopa habari za kimapenz nifundishini jins ya kujiondoa jamii forum ili nijiondoe
Pole dogo hii ni kwa ADULT ONLY ,kwa hiyo anza kufungasha usije pata RAZI bure kuchungulia wakubwa.
 
Sawa brother nisaidie jins ya kujiondoa maana ww na sister rubbi mnanifundisha tabia mbaya
 
Back
Top Bottom