Konzo Ikweta
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 745
- 1,504
Una madhambi sana wwNilimfungia mende kwenye kikopo cha juice, aliishi siku 9. Nilishangaa sana
🤣🤣🤣Ninachomshukuru sana Mende ni kuruhusu mkao wa kifo chake kitumike kama style pendwa ya kutiana, hii style hata viongozi wa dini wanaibariki kwa mikono miwili mapadri na masheikh
Tuseme nini basi kwa Mende zaidi ya kushukuru?
We bila mende ungeijua hii style tamu? Muwe na shukran bas🤣🤣🤣🤣
Naishia tu kusema kila mtu na akili zake
Ha ha ha haNinachomshukuru sana Mende ni kuruhusu mkao wa kifo chake kitumike kama style pendwa ya kutiana, hii style hata viongozi wa dini wanaibariki kwa mikono miwili mapadri na masheikh
Tuseme nini basi kwa Mende zaidi ya kushukuru?
Dah! HatariMi naona ht labda nimekuja duniani kutokana na kifo cha mende...ngoja ntamuuliza Mzee siku akilewa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kumbe haya nayo ni maajabuUkimkata kichwa ataishi mda wowote mpaka afe kwa njaa
Ha ha ha ha haWe bila mende ungeijua hii style tamu? Muwe na shukran bas🤣
Kwakweli🤣🤣🤣
Naishia tu kusema kila mtu na akili zake
Mamdogo Amehlo embu njoo umsome mende hapa..!!Ninachomshukuru sana Mende ni kuruhusu mkao wa kifo chake kitumike kama style pendwa ya kutiana, hii style hata viongozi wa dini wanaibariki kwa mikono miwili mapadri na masheikh
Tuseme nini basi kwa Mende zaidi ya kushukuru?
KWA SISI MAJINIASI TUNASEMA ELIMU ULIYO TOA NI TATANISHI KWA SABABU KUNA MAMBO MAWILIInatajwa kuwa Mende walikuwepo duniani miaka milioni 120 iliyopita,kabla ya wanyama wakubwa kama vile Dinosaurs na bado hajawahi kupotea.Mende ni mdudu anayetajwa kuwa anauwezo wa kuishi siku tatu (3) akiwa anekatwa kichwa,anaweza kutembea na kuhisi kama mbele kuna hatari.
Kuna vitu ambavyo vinamfanya Mende aishi akiwa hana kichwa,sababu kubwa ni kutokuwa na "Moyo" ambapo kazi kubwa ya moyo ni kusukumwa damu mwilini.Hivyo Mende hana damu kama ilivyo pia kwa Nzi ambaye pia anauwezo huo wa kuishi akiwa hana kichwa na anakuwa na uelekeo mzuri zaidi akiwa anapaa tofauti na akiwa na kichwa.
#Note:- Kuamini haya inakupasa ufanye majaribio kwa viumbe hivyo.
SawaKumbe haya nayo ni maajabu
Kama wanandoa wana matatizo ya kupata mtoto, huwa wanaulizwa mnafanyajeNinachomshukuru sana Mende ni kuruhusu mkao wa kifo chake kitumike kama style pendwa ya kutiana, hii style hata viongozi wa dini wanaibariki kwa mikono miwili mapadri na masheikh
Tuseme nini basi kwa Mende zaidi ya kushukuru?